The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

mkuu lile bandiko la mifereji ya damu kuelekea Ethiopia liliishia wapi mbona kama sikuona mwendelezo wake nilisoma mpk episode 8 hivi.. kwanimwisho ilikuwa namba ngapi


Lilifika Mwisho boss...ila kusema ukweli sikupenda lilivyomalizikia maana kuna vtu Mkuu hakuvielezea kinagaubaga kama ambavyo alielezea kwenye sehemu nyingine za bandiko. Ila siwezi kumlaumu maana najua madhara ya hzi habari za ufukunyuku...unaweza tembelewa Na watu wasiojulikana ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…