Habibu B. Anga
Point of correction..Rashidi alimsogelea mzee hadi alipokuwa amekaa na kujifanya kama anataka kumnon'goneza kisha ghafla akachomoa bastola na kumshoot mzee ..Risasi ya kwanza ambayo ndo ilimuua kabila aipigwa shingoni..
Sehemu ya pili imenifanya nijue kwa nini Mzee Kabila aliuawa,muda wote sikuwahi kujua.......asante sana mkuu Habibu B. Anga kwa simulizi yako mujarabu kabisa!!