Amani Dimile
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 243
- 399
Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu. Ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini kwenye hasara na majuto..
Maneno ya muandishi George Clason, kwenye kitabu chake cha 'The Richest Man in Babylon'
Hata hivyo naamini kuna ukweli ndani yake
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app