Amani Dimile JF-Expert Member Joined Jul 27, 2022 Posts 243 Reaction score 399 Jul 13, 2023 #1 Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu. Ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini kwenye hasara na majuto.. Maneno ya muandishi George Clason, kwenye kitabu chake cha 'The Richest Man in Babylon' Hata hivyo naamini kuna ukweli ndani yake Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Biashara zenye kudai zina faida kubwa ni mtego na udanganyifu. Ni nyimbo zinazoimbwa ili kumvuta mtu asiye makini kwenye hasara na majuto.. Maneno ya muandishi George Clason, kwenye kitabu chake cha 'The Richest Man in Babylon' Hata hivyo naamini kuna ukweli ndani yake Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app