nkosiyamakosini
Member
- Nov 4, 2010
- 83
- 2
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks

Mkuu, CUF ndicho kinaweza kikasambaratika - kimekuwa chama cha upinzani cha vyama vya upinzani na kuisupport ccm kiasi inanishangaza hata wana nccr kusimama upande wao, sidhani wana cuf wote watakuwa wanafurahia namna kilivyofanya. Kimeanza kuzeeka mapema sana na kwa kasi ya ujabu. Mpaka kufika 2015 si ajabu walio ndani yake watataka kujitoa ili waanzishe CUF nyingine au chama kingine.
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks
Kwa wanao ona mbali Chadema hakina maisha marefu labda wabadili mienendo yao ya kiuongozi. Binafsi sina matatizo na watu wamoja wamoja ndani ya chama nina matatizo ya mfumo wa chama. Wakiweza kurekebisha hili basi wataweza kuwa chama bora Tanzania wakienedlea na itikadi zao za kuona wao ni asilimia 12. basi wataweza kitakufa natural death.
Mwisho napende nisema baadhi ya viongozi wa chadema ni makini lakini chama chao sio makini na wakigundua hivyo watafanya kama alivyofanya kafulila.

Maneno kama yako ni siku nyingi yanasemwa, lakini kitu ambacho nina amini, na nitaendelea kuaminini ni kwamba, Chadema ni chama makini na kina watu makini. Chadema ni chama ambacho kinafanya maamuzi kisayansi na sio kisanaa (usanii), ni mara nyingi unakuta watu wengi wanalalama oh oh chadema wafanye hili au lile, lakini Chadema wanaamua kutokana na uhalisia wa jambo na si hisia za watu fulani.Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter of time. Verry bad! thanks
Hujui lolote kuhusu kuisupport CCM ni bora unyamaze unaonyesha ushabiki wa chama weka hoja zako watu wazipime. In short CCM bara hawakufurahishwa na kilichojiri Zanzibar maana Sief alimkabili Karume na kumweleza nchi inaelekea kubaya na anajukumu la kuenedleza yale aliyoyasimamia baba yake akamkumbusha mengi sana na kumwambia zanzibar ni nchi iliyoingia kwenye muungano amabalo mimi pia nalikubali! Kwahiyo wao ndio watakaojenga nchi yao na ni wao ndio watakaobomoa nchi yao wazike tofauti zao waache kuamliwa na upande wa pili wa muungano. Ndio maana kukafanyika mabadiliko ya katiba zanzibar lakini CCM hawakufurahia hata kidogo na mgomo wa Karume kwa Serikali ya Muungano ulianza kuonekana kitambo mnakumbuka sherehe za mapunduzi mwaka juzi hakuhudhuria?
Kwahiyo ule muungano wa CUF na CCM hauna baraka na CCM bara ila hawana budi kukubali shingo upande maana wenyewe wazanzibari wameamua kuipeleka nchi yao kwenye maendeleo na sio malumbano

na huo ni ukweli mkuu,punguza hasira, it will only impose poison in your brain. ikiwa kuna ccm bara unadhani hakuna cuf bara? hudhani kuwa wanaweza kuuliza ni kwa nini inaonekana kuna chama kimoja cha upinzani bungeni na ni kwa nini cuf bungeni (bunge la muungano) inaonekana kuambatana na ccm?
mimi siangalii suala la huo mwafaka wenu za zanzibar ulioasisiwa na Mke wa marehemu Adeid karume.
give it time and you will see
wazanzibar wepi hao? hawa tunaowajua sisi ama? hapo hakuna maendeleo ukweli ni kwamba zanzibar sasa
kuongozwa kwa remoti kontroo na kundi la mafisadi la ccm
Hivi hata wewe mwenyewe umekielewa ulichokiandika, hasa hapo kwenye red??