Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Huyo Maximo hana lolote... Ni mbabaishaji tu!
Tulime viazi........soka la nini wakati masikini tu sisi? huo mshahara wa maximo wangenunulia power tillers.....matrekta watu turudi shamba.me nahisi mpira si fani yetu, nadhani tujikite zaidi kwenye riadha maana imeshaonekana mpira hata hela ikiwa nyingi na facilities zikiwepo bado hamna kitu mfano Canada, japan, qatar,na nchi nyingine hamna mpira huko lakini angalia Brazil mambo mswano
Maximo ni kocha wa aina ya pekee, anataka kuifanya Tanzania iwe ya kwanza kwenye FIFA ranking hata kama hatushiriki mashindano makubwa wala kuchukua ubingwa. Obrigado Maximo!!!!!!!
me nahisi mpira si fani yetu, nadhani tujikite zaidi kwenye riadha maana imeshaonekana mpira hata hela ikiwa nyingi na facilities zikiwepo bado hamna kitu mfano Canada, japan, qatar,na nchi nyingine hamna mpira huko lakini angalia Brazil mambo mswano