marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,771
Wakuu............................................. Dear comrades, soldiers, sailors,and workers! I am happy to greet in your persons the Victorias Russian revolution and greet you as the vanguard of the worldwide proletarian army......Any day now the whole of European capitalism may crash.
Maneno haya yalitamkwa na Vladimir Ilyich Ulyamanov (better known under his assumed name,N.lenin) alipowasili mji mkuu was Russia Petrograd mwaka 1917 .baada kuishi ukimbizini Switzerland Lenin alisafirishwa na wakubwa wa ujerumani ili akapate kutawala urusi wajerumani ndio waliosuka mpango mzima.
Na kweli matunda ya kazi yalionekana mwaka 1918 urusi ilisaini peace treaty na ujerumani ilioitwa Brest_litovsk lakini alikuwa nje tayari ya Vita vya Kwanza vya dunia mapinduzi ya Lenin ya pili baada yale ya Kwanza ya kumpindua craz Nicholas II.itaendelea part two pichani aliyevaa suti ndiye Lenin mwenyewe anayefuatia Ni Joseph Stalin wa mwisho kule Ni trosky