1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 252
- 422
Wakuu salamu!
Kwenye Ulimwengu huu unaobadilika ni vigumu sana kupanga mpango na ukaenda vyema kama ulivyotarajia.Nchi nyingi kubwa zenye taasisi serious za kiusalama hazijawah kuwa 100% correct mara zote!Mathalani CIA ili kuiumiza Usovieti iliwafadhili mujahdeen Afghanstan na kwakweli walifanikiwa lakin huo ndio ukawa mwanzo wa Taliban ambayo imekuja ku-backfire dhidi ya wamarekani haohao!!!
Miaka ya 90 baada ya IMF na wazungu kutafuta mbinu mpya ya kututawala wakaja na sera ambazo wapigania uhuru hawakuzipenda lakin kwakuwa chumi nyingi zilikuwa taaban(mf.Tz Sera za Nyerere zilikuwa zimeshindwa hali tete) ikabidi wazee wakubali.Hapo tukaona watu wanalazimishwa kukubali mfumo wa vyama vingi!
Wazee walikubali mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande,huo ndio ukweli!Sasa nnaamini taasisi za ndani ziliamua kutengeneza vyama legevu na kuPRETEND kuvipa nguvu ili IMF na world bank/partners waendelee kutoa misaada na support!Mkakati ilikuwa chama kinapewa nguvu lakini piga geuza the head lazima awe MWANDANI!!!!
Hawakutarajia mambo yanaweza kugeuka.Wew jiulize katika course yote ya vyama vya upinzani kupambana utackia wanaouawa/kuumizwa ni ama wasaidizi(Ben Saanane) ama wanachama juniors lakini sio THE HEAD.Seniors anayeumizwa sana ni ama sio mwenzao au ametoka kwenye makubaliano.Kaz ya the head mara zoote ilikuwa ni kudhibiti chama kisivuke threshold level,kisiwe tishio.Mtazame Lipumba and so on.
Yaliyotokea Kenya yalikuwa makubwa,Tz sio kisiwa mifumo ilitafuta namna ya kudhibiti yasitokee hapa.Lakini kama ujuavyo kadri unavyomdhibiti binadamu na yeye atatumia mwanya wowote kutoa makucha.Here comes CdM watu wanataka mageuzi kupitia chama hicho,mtu aliyepewa kazi ya kukidhibiti kazi inaelekea imemgeuka sasa anataka akiue rasmi maana ndio jukumu alilopewa.NOW whatever the situation will unfold bado watu watataka mabadiliko.
Watu wanaoumia vichwa kwasasa ni system..!!!!