THE RITUAL: Jihadhari na Hawa matapeli wa kutengeneza betting tips

This is...

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5,050
Reaction score
5,204
Wameshatapeli wengi Sana. Watu wanalipia na mkeka hawatoi. Wanachofanya kila ukilipia wataleta gharama mpya Hadi uchoke ukimbie.

Nina dogo wangu anasoma chuo X wamempiga laki na ishirini.

 
Hiyo ndogo sana kuna jamaa niko nae mtaa mmoja alikaza fuvu kuhusu hao jamaa mwisho alipigwa millioni 3 na pointi zake.
 
Na bado nn Sasa.

Huyu dogo wala simcheki Wala simlaumu. SABABU ndiyo maisha yalivyo, HAKUNA Chuo kinafundisha maisha.

KTK kujaribi Mambo mapya au kyk kufeli ndiyo kujifunza na kuwa bora zaidi.

Maisha ni physics, bila friction HAKUNA kwenda mbele[emoji16]

NB: Ni tahadhari ili wengineo wasiumizwe zaidi.
 
Hiyo ndogo sana kuna jamaa niko nae mtaa mmoja alikaza fuvu kuhusu hao jamaa mwisho alipigwa millioni 3 na pointi zake.
Hizi pesa huwa mnaokota au huwa mnapataje pesa za kutowa sadaka ya hivi?
 
Uyo dogo arudi memkwa .akili yake sio ya chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…