General Museveni akiwa na familia yake baada ya kutoka kanisani. Hapo sambamba na Museveni yupo mama Janeth Museveni ambaye ni first lady na waziri wa michezo na utamaduni Uganda.
Pia yupo Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba mtoto pekee wa kiume wa Rais Museveni na mrithi wa kiti cha Urais hapo 2026.