Yaani ana ajira ya moja kwa moja baada ya urais ngoja tusubiri tutakuwa tunamuona kwenye movies nyingi kama staringMama kapewa pozi la Terminator kabisa, yani kama steringi wa kihindi aliposhuka kwenye gari. Kunogesha angepewa na bunduki kabisa atupie begani.
Mama akistaafu uraisi aende Hollywood akatoe kitu kimoja cha action.
Moja nahisi atakuwa kama Tarzan. 'The rise of the female Tarzan in the serengetis'. Mama atakuwa anadanki tu kwenye miti.Yaani ana ajira ya moja kwa moja baada ya urais ngoja tusubiri tutakuwa tunamuona kwenye movies nyingi kama staring
Hongera Mh. Rais. Hii inaweza kuongeza idadi ya watalii kwetu. Sio jambo la kubeza."THE ROYAL TOUR" official trailer
Video hii ni utangulizi rasmi (official trailer) wa filamu ya kihistoria ya "THE ROYAL TOUR" ambayo Rais wetu Samia Suluhu
Hassan ameshiriki akiwa Mwongozaji Mkuu kutangaza Utalii, Uwekezaji na Nyanja nyingine mbalimbali zikiwemo za sanaa na
utamaduni wetu Tanzania.
Filamu kamili inatarajiwa kuzinduliwa Aprili, 2022.
===
The official trailer for the Historic Film "THE ROYAL TOUR" that featured the President of The United Republic of Tanzania, Her Excellency Samia Suluhu Hassan is now out.
The release date of the full film is scheduled for April, 2022.