Kwa hakika mambo ya sayanasi za jamii ni.magumu sana, Siyo kama natural sciences Ukikuta 1 + 2 = 3 dunia nzima, SOCIAL SCIENCES ziko subjected to value judgment, one's opinions na mfano wa hivyo....
Lolote linaweza kuwa jibu hasa ukipata mwitikio unaoweza kulifanya kuwa jibu....
Sijui ni kuwa alikuwa anatuma meseji gani; Je ni positive gesture kuwa pamoja na utalii nchi hii iko mstari wa mbele kupambana na utalii? Je ni kutoa majibu juu ya tuhuma flani ambazo labda tunatuhumiwa nazo kama nchi?
Nadhani maswali hata YOTE anaweza kutolewa majibu na wahusika watakapofanya press conference....