Sijui ni kuwa alikuwa anatuma meseji gani; Je ni positive gesture kuwa pamoja na utalii nchi hii iko mstari wa mbele kupambana na utalii? Je ni kutoa majibu juu ya tuhuma flani ambazo labda tunatuhumiwa nazo kama nchi
Una maana gani hapo?
 
1. Hilo la kwanza Sioni Shida sana kuonyesha

2. La Pili Ni kwamba Afrika Hatutoweza kujq Kujitegemea na akujivunia vya Kwetu maana Hata ukiangalia miundombinu mingi imeonyeshwa kwenye Royal tour ni ya Mwenda Zake

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Tuache unafki mama ameupiga mwingi hapa
 
Nice film, ni mependa Accent politeness humbleness na soft voice ya Mama, na kua mkweli kwamba she was over shadowed na Magufuli kipindi yeye ni makamu wake most surprisingly kasema scientist(chemist)ku deny science, eti covid ina ondoka kwa maombi ya siku tatu, lakini wengi wana amini kafa kwa covid hilo sio siri tena.......hi documentary wa ki-ipromote on western media itaongeza idadi ya wtalii nchini.
 
Nilichokiambulia kwenye hiyo filamu ni hadithi ya maisha ya mwigizaji, tangu utoto hadi kuwa Mkuu. Kama filamu ya kuonesha dunia hazina ya utalii, inapitwa x1000 na Chanel zinaonesha masuala ya utalii km SAFARI ya Kitanzania. Isitoshe maudhui yaliyomo ya kitalii yangeweza kufanywa na Wizara husika YEYE akachukua nafasi ya kuizindua tu, huko USA
 
Duh zile safari na mishe mishe zoye kii movie chenyewe ndo hiki kumbe asee
 
Mkuu mbona kwangu haionekani.?? Imeniandikia ni view document, nifanyie namna basi niipate...natanguliza shukrani [emoji120]
 
kwan mkuu umetumwa? maana naona u unapapalika kama mabisi yale yanayokaangawa pale makumbusho stend
 
Ningekuwa ndo first gentleman lazima ningepata wivu at some point wakati nikiiangalia hii Royal Tour.

Otherwise naweza kusema Royal Tour hii imekaa poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…