The Royal Tour ya Rais Samia yarejesha heshima ya Utalii kama Sekta kinara ya kuleta fedha nyingi za kigeni baada ya miaka 4 ya kuporomoka

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita.

Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa inaiokoa Nchi kwenye Suala la Fedha za kigeni.

Kurejea Kwa Utalii ni ushahidi na Ushindi mkubwa Kwa The Royal tour ya Rais Samia ilivyochangia kufufuka sekta hii.

Kwa Sasa huko Arusha Utalii ni 🔥🔥 na pesa zinamiminika Kufuatia Mafuriko ya Watalii.

Mwisho zifanyike Roya tour zingine ila this time ziwahusishe watu mashuhiri zaidi.

View: https://www.instagram.com/p/CxFlr6joVlm/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Kazi nzuri sana hii ila kama kawaida Chadema Watapinga 😁😁
 
Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita.

Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa inaiokoa Nchi kwenye Suala la Fedha za kigeni.

Kurejea Kwa Utalii ni ushahidi na Ushindi mkubwa Kwa The Royal tour ya Rais Samia ilivyochangia kufufuka sekta hii.

Kwa Sasa huko Arusha Utalii ni 🔥🔥 na pesa zinamiminika Kufuatia Mafuriko ya Watalii.

Mwisho zifanyike Roya tour zingine ila this time ziwahusishe watu mashuhiri zaidi.View attachment 2745542
Na bado serikali inaomba mkopo wa dollar🤣😭😂
 
Na bafo dollar haipatikani 🤣🤣🤣
 
Na bado serikali inaomba mkopo wa dollar🤣😭😂
Kwani Kuna sehemu wamesema baada ya Utalii kurejea kuwa top dollar earner zimetosha?

Unakuwa mjinga Kwa sababu una chuki 😂😂
 
Back
Top Bottom