ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na bado serikali inaomba mkopo wa dollar🤣😭😂Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita.
Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa inaiokoa Nchi kwenye Suala la Fedha za kigeni.
Kurejea Kwa Utalii ni ushahidi na Ushindi mkubwa Kwa The Royal tour ya Rais Samia ilivyochangia kufufuka sekta hii.
Kwa Sasa huko Arusha Utalii ni 🔥🔥 na pesa zinamiminika Kufuatia Mafuriko ya Watalii.
Mwisho zifanyike Roya tour zingine ila this time ziwahusishe watu mashuhiri zaidi.View attachment 2745542
Na bafo dollar haipatikani 🤣🤣🤣Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita.
Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa inaiokoa Nchi kwenye Suala la Fedha za kigeni.
Kurejea Kwa Utalii ni ushahidi na Ushindi mkubwa Kwa The Royal tour ya Rais Samia ilivyochangia kufufuka sekta hii.
Kwa Sasa huko Arusha Utalii ni 🔥🔥 na pesa zinamiminika Kufuatia Mafuriko ya Watalii.
Mwisho zifanyike Roya tour zingine ila this time ziwahusishe watu mashuhiri zaidi.View attachment 2745542
Kwani Kuna sehemu wamesema baada ya Utalii kurejea kuwa top dollar earner zimetosha?Na bado serikali inaomba mkopo wa dollar🤣😭😂
Inapatikana ila haitoshelezi vs mahitajiNa bafo dollar haipatikani 🤣🤣🤣
Basi kawabishie the citizen kwamba haikuwahi kuporomokaSekta ya utalii haijawahi kuporoka , hata kipindi vha corona Tanzania ilipokea wageni wa kutisha.