"... the rubbish into Politics... " Yana Ukweli.

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,141
Reaction score
1,982
JF Kwenu,

"Generally speaking, the best people nowadays go onto journalism, the second best into business, the rubbish into politics and the shits into law"
Auberon Waugh.

Haya ni maneno ya mwandishi nguli wa habari wa Uingereza aliyefariki mwaka 2001.Yamenifikirisha sana, hasa sentensi mbili za mwisho. Nimeona nilete kwa mjadala.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Katika uandishi wake (journal, kitabu etc) hakuendelea kufafanua?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…