Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 May 9, 2022 #2 Kawaida sana...
Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 May 9, 2022 #3 Smart911 said: Kawaida sana... Click to expand... Sio kawaida, wamagharibi wanahuzuni maana vikwazo vyao havifanyi kazi kwa mwamba. Wameamua wamalizie hasira kwa balozi.
Smart911 said: Kawaida sana... Click to expand... Sio kawaida, wamagharibi wanahuzuni maana vikwazo vyao havifanyi kazi kwa mwamba. Wameamua wamalizie hasira kwa balozi.
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 May 9, 2022 #4 Kufanya kazi na Putin ni tabu sana🤔
K KIDUNUNDU JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 1,317 Reaction score 2,259 May 9, 2022 #5 Jackal said: Kufanya kazi na Putin ni tabu sana🤔 Click to expand... Sema Russia ni taifa baya sana halijawahi kutokea
Jackal said: Kufanya kazi na Putin ni tabu sana🤔 Click to expand... Sema Russia ni taifa baya sana halijawahi kutokea
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 May 9, 2022 #6 KIDUNUNDU said: Sema Russia ni taifa baya sana halijawahi kutokea Click to expand... Hapana
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 May 9, 2022 #7 KIDUNUNDU said: Sema Russia ni taifa baya sana halijawahi kutokea Click to expand... Vipi Yale mataifa (NATO)yanayoanziasha Vita uarabuni,afrika na kwingineko wasapoti uovu Kama ushoga na uovu mwingine?unawasapoti?
KIDUNUNDU said: Sema Russia ni taifa baya sana halijawahi kutokea Click to expand... Vipi Yale mataifa (NATO)yanayoanziasha Vita uarabuni,afrika na kwingineko wasapoti uovu Kama ushoga na uovu mwingine?unawasapoti?