The Search For "God Particle," Higgs Boson, Anti Matter, Big Bang, etc. Is Underway..

Haya mapesa yangetumika, just Nusu tu kama si robo kuondoa matatizo ya maradhi ya maralia na umaskini Duniani, tungejuwa kweli hawa ni wanasayansi na wanajali...!
 
Muogopeni Mungu jamani........Mungu atukuzwe.
 
Sikuwa na nafasi ya kusoma Yaliyomo-read posts. Kutoka kwa Thread yenyewe...I conclude.

God Made Man!
 
LHC imeharibika kidogo.... itatengemaa na tutarudi katika ku-push boundaries za elimu na imani ya binadamu.

Muogopeni Mungu jamani........Mungu atukuzwe.

AMINA.

Haya mapesa yangetumika, just Nusu tu kama si robo kuondoa matatizo ya maradhi ya maralia na umaskini Duniani, tungejuwa kweli hawa ni wanasayansi na wanajali...!

X-Paster, naomba nikujibu kwanza kwa kunukuu post ya Mkjj:

Nyongeza: Nyani Ngabu alishatueleza mara kibao, though it sounds ugly - but somehow ukweli huwa unabakia hapohapo, Waafrika ndivyo tulivyo.

Hapa juzi tu tumeshuhudia Mwenyekiti wa AU na Mh. Rais wetu, Kikwete akijiombeleza zaidi misaada kwenye mkutano wa UN, tena kwa kulazimisha! Hela ambazo zipo humu humu ndani ya Africa na kama kutukomboa, zingeshafanya hivyo zamani.... tatizo letu ni la kifikra zaidi na kubuni mbinu za maendeleo yetu kuliko hilo la kutegemea ruzuku za kiutu kutoka kwa walionacho.
 
I've heard that they're going to switch it on this Friday. Behold...
 
Kwa wale wanaofuatilia hii kitu, jana experiment hii ilifanyika kule Uswiss na Ufaransa
Ilirushwa na vyombo vingi sana vya habari vya ulaya.
Wanasema it is the most largest machine, the most complex experiment which could make the recreation of the environment existed at the beginning of the universe billions of years ago( call it BIG BANG).
Najua kwa watu wengine siwezi kueleweka ila kwa watu kama KIRANGA najua atanipata.
Kama hii habari ilishazungumzwa hapa basi nisameeni.

You can see it here
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=G8py8h0xZac&feature=related"]YouTube- CERN Large Hadron Collider LHC -How it works- End of world??[/ame]
Asanteni.
 
Please stop with the sophistry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…