Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Kuna kitu kwenye ubongo wangu kinaniambia kwamba hiyo ramani ya lughaNaona Kenya ni Kiswahili, Na Tanzania ni Kiunguja, Je kuna mtu anakijua hiki kiunguja?
Kuna kitu kwenye ubongo wangu kinaniambia kwamba hiyo ramani ya lugha
Afrika Mashariki ilichorwa kwa kutumia wakenya.(Kenya wamejitangaza sana kwamba wao ni taifa la kiswahili) Kwa hiyo wameweka kiswahili kenya na kiunguja tanzania. Kwa kweli kiunguja mimi sikijui ila najua ni lahaja ya kiswahili iliyokuwa inazungumzwa Zanzibar na ndiyo lahaja iliyosanifiwa na wakoloni kuwa kiswahili rasmi.
Kibanga umeibukia huku maana ulipotea sana lile jukwaa letuBasi Mkuu SHIEKA inaonekaan ni kweli na wapo sahihi kuwa kwa kenya Number moja ni English mbili Kiswahili na Kwa Tanzania number moja ni Kiswahili , mbili ni Kiunguja.
UkwajuKibanga umeibukia huku maana ulipotea sana lile jukwaa letu
Hii ramani ina makosa mengi sana na usitake kuiamini
- angalia Ramani ya Italy - eti wao hazungumzi Kitaliano bali Kiingereza (English)
- Huko ajentina na Chile =eti ndio Kitaliano kimelala huko
- Marekani na Canada wao Kifaransa na Kihispania (wakati ni uongo USA official Language ni English kwa kila kitu)
- kwa angola amesema ni KiBantu zaidi
- Angola ni Kisandawe wakati angetaja hata hapa Dodoma km asili yake
km ni hivyo mm ndio nimepotea nikijua Kenya 1st language ni Mother tongueUkwaju
Mkuu mimi nipo kotekote, ila ukinihitaji huko we niite na nitakuja kwani hapa ni Junguuu kuu halikosi ....
Back kwenye mada naona hujaistukia vizuri, hii rmaani haizungumzii first language inazungumzia second language na ndio maana Kenya ikasemwa first ni English na second ni Swahili.
Ukwaju
Mkuu mimi nipo kotekote, ila ukinihitaji huko we niite na nitakuja kwani hapa ni Junguuu kuu halikosi ....
Back kwenye mada naona hujaistukia vizuri, hii rmaani haizungumzii first language inazungumzia second language na ndio maana Kenya ikasemwa first ni English na second ni Swahili.