the selection for the national institute of transport management (N.I.T).......tufahamishane!

the selection for the national institute of transport management (N.I.T).......tufahamishane!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
wakuu.....
naobeni msaada wenu wakubwa, mimi nimeapply katika chuo cha N.I.T, tafadhalini kwa ambaye anafahamu kama selection zimetoka na anazo karibu naombeni sana azitupie humu!
ni ombi wakubwa!
 
kama selection za tcu bado kuwa na subira,ila kama ni za direct entry tembelea web yao kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom