Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Aug 15, 2012 #1 wakuu..... naobeni msaada wenu wakubwa, mimi nimeapply katika chuo cha N.I.T, tafadhalini kwa ambaye anafahamu kama selection zimetoka na anazo karibu naombeni sana azitupie humu! ni ombi wakubwa!
wakuu..... naobeni msaada wenu wakubwa, mimi nimeapply katika chuo cha N.I.T, tafadhalini kwa ambaye anafahamu kama selection zimetoka na anazo karibu naombeni sana azitupie humu! ni ombi wakubwa!
mark x Member Joined Jun 26, 2012 Posts 16 Reaction score 1 Aug 15, 2012 #2 kama selection za tcu bado kuwa na subira,ila kama ni za direct entry tembelea web yao kwa msaada zaidi
kama selection za tcu bado kuwa na subira,ila kama ni za direct entry tembelea web yao kwa msaada zaidi