The Silent Generation

The Silent Generation

Alafu wewe Pearl!!
Ina maana hiyo Y generation ni ya mtoto wa kiume tu?
Mbona huyo cartoonist wako amemchora Mwanaume?
 
sio wanaume tu wote kati ya hiyo miaka but imeitwa hiyo kutokana na hiyo Y
Alafu wewe Pearl!!
Ina maana hiyo Y generation ni ya mtoto wa kiume tu?
Mbona huyo cartoonist wako amemchora Mwanaume?
 
hii mi bange ya Bongo!!! Mh!?
 
Hii kiboko. we pearl huwa unayatoaga wapi haya! bora mm ni next generation btn 1996 and 2000
 
eeehtupande basi wote kesho au lini
Hilo ntalithibitisha tukiwa tumepanda wote kwenye daladala kama sitaona generation Y imetulia kama kawaida.
 
Back
Top Bottom