WIMICKY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,428
- 1,571
Habari wana jamvi,
Nina simu aina ya oppo 57 imetoa changamoto haimalizi kuwaka yaani inafika eneo la logo, nikamuulizia jamaa yangu ambaye kidogo hivi vitu anavifahamu yupo eneo tofauti na ninaloishi akanishauri niweke faili lingine nakapakua mtandaoni.
Changamoto ikaja wenye kuliweka kila nikijaribu simu ikwa port haisomi nakaambiwa nitafute msdownlad tool craked nikafanya hivo ilipoanza kulipakua faili ikatoa ujumbe (the sofware does not match phone oppo A57).
Basi nikaitoa baada ya muda nikawa na jaribu kuirudia nikakuta haisomi kumbe ilikuwa imeisha chaji nimejaribu kuchaji kawaida haichaji nimejaribu kuwasha haiwaki nikipachika kwenye pc inatoa ujumbe (usb not regonize), naombeni msaada wataaalamu.