Sasa kama Wachina walifia kwenye mradi wenu ili kuufanikisha, mbona mumewazunguka kwenye SGR na kumfuata Mturuki ambaye had leo sijui amewapeleka wapi.
Mturuki anafanya kazi yake vizur, mm Ni shuhuda,madaraja Ni mengi sana ndio yanayochelewesha project,lakini anakomaa nayo vizur tu...Sasa kama Wachina walifia kwenye mradi wenu ili kuufanikisha, mbona mumewazunguka kwenye SGR na kumfuata Mturuki ambaye had leo sijui amewapeleka wapi.
Sasa Novemba inakamilika kama mlivyosema?Mturuki anafanya kazi yake vizur, mm Ni shuhuda,madaraja Ni mengi sana ndio yanayochelewesha project,lakini anakomaa nayo vizur tu...
Apo Ni issue ya mkwanja,China alitaka mkwanja mrefu sana na Uwezo huo haupo
Tazama Hiyo Video mama, Natumai utakuja siku ya Uzinduzi. Nitakulipia tiketi hadi Dodoma na tukanywe Mvinyo maeneo ya Chako ni Chako[emoji39]
Ilikuwa ni competitive bid, hakuna anaependelewa wala Kuonewa,
Mturuki anatupeleka huku
Pesa zinaingia GOK au zinalipia deni kwanza!?Nimeitazama hii video mwanzo hadi mwisho, naona nguzo na zege, nimetamani nione sehemu hata moja iliyokamilika, kumbuka sisi kilomita 500km tayari zinaingiza hela, na safu ya pili tayari imekamilika. Hii yenu kilomita kidogo sana 200km bado naona mpo machimboni.
Njooni mtutambie siku walau mtapiga honi na kungurumisha injini ya kichwa hata kimoja cha kuzuga, na kisiwe kile mlikuja kututambia baada ya kukinywesha gongo/chang'aa hadi kikabinuka, hiki hapa
View attachment 1218449
Pesa zinaingia GOK au zinalipia deni kwanza!?
Nasikia wanaoendesha mradi huo ni wachina hivi ni kweli!?
Waendeshe Wachina au Wavietnam ila lazima tufikishe reli DRC kupitia Uganda, lazima tuunganishe bahari ya Hindi na ya Atlantic.
Sisi hatuangalii kwa urefu wa pua.
Mchina deni lake atalipwa, na tutazidi kumuagiza atukopeshe zaidi hadi hiki kitu kikamilike kote kote.
Nyie mnaotutambia kujenga kila kitu kwa pesa ya ndani, mbona awamu hii kwa miaka miine tu mumekopa kuzidi awamu zote
Nimeitazama hii video mwanzo hadi mwisho, naona nguzo na zege, nimetamani nione sehemu hata moja iliyokamilika, kumbuka sisi kilomita 500km tayari zinaingiza hela, na safu ya pili tayari imekamilika. Hii yenu kilomita kidogo sana 200km bado naona mpo machimboni.
Njooni mtutambie siku walau mtapiga honi na kungurumisha injini ya kichwa hata kimoja cha kuzuga, na kisiwe kile mlikuja kututambia baada ya kukinywesha gongo/chang'aa hadi kikabinuka, hiki hapa
View attachment 1218449
Bullet train noma Sana. Nangoja Sana uzinduzi nikeshe hapa nikicheka.Tazama Hiyo Video mama, Natumai utakuja siku ya Uzinduzi. Nitakulipia tiketi hadi Dodoma na tukanywe Mvinyo maeneo ya Chako ni Chako[emoji39]
Either or it doesn't matterSasa Novemba inakamilika kama mlivyosema?
Sumu inauzwa kanunueBullet train noma Sana. Nangoja Sana uzinduzi nikeshe hapa nikicheka.
Ushahidi tafadhari.Uongo mkubwa . kwanza Nyerere kawajua Machina na Mao kupitia Abdulrahmna Babu. Babu alikua rafiki wa Mao na Choenlai
Wakati Tazara inataka kujengwa Nyerere akawaomba Marekani ambao ndio walikua marafiki zake..wakakataa kwa sababu haina maslahi kiuchumi. Na walikua right leo Tazara ipo ipo tu.
Wakati Mwalimu hajui atajenga vipi Babu akiwa Waziri Uchumi akaandaa ziara ya kwanza ya Mwalimu China.
Babu akawaeleza Mao na Choe Nlai juu ya Azma ya Tanzania kujenga Reli Tazara na West wamekataa.
Nyerere alipo fika China Ikawa kazi imesha malizwana Babu na wakati wa Hafla ya kitaifa Mao akatangaza kuwa China watajenga Tazara kwa mshangao wa Nyerere kwani hakuwahi kuleta ombi hilo !
Akiingia tu pale chake ni chako! 🤣 🤣Tazama Hiyo Video mama, Natumai utakuja siku ya Uzinduzi. Nitakulipia tiketi hadi Dodoma na tukanywe Mvinyo maeneo ya Chako ni Chako[emoji39]