The story of how a Kenyan lady built 200 houses

Yes the youths of kenya are doing better on fetching reliable opportunities, as I had saw another girl think she is running gjenge company dealing with production of blocks and pavements from plastics and used tyres, thats dope.
 
Kama watu wanafanya mazuri wawe kenya au uganda au Tanzania tunatakiwa kuwasupport na kujifunza kutoka kwao huo ndio uungwana, mambo ya hovyo hatutayaunga mkono yafanyike kenya au Tanzania tutayakemea lakini mambo mema ya watu kutengeneza ajira kwa wenzao na naona Wode Maya anajitahidi sana kuexplore inspiring stories ili wengi tujifunze sio kukaa kaa kizembe
 
I like your positive energy., big up man 👍 💪
 
Ile ya yule dada mtengeneza viatu mbona hujaweka?

So u think this impresses us? Kwani huku hakuna watu wenye stori za mafanikio kama hao?
 
Wakenya waongo sana
 
Ile ya yule dada mtengeneza viatu mbona hujaweka?
Mbona wewe vile ulioona hukuweka ,ulitaka ikuwe a negative story ndio uweze kuipost.
So u think this impresses us? Kwani huku hakuna watu wenye stori za mafanikio kama hao?
I posted this for inspiration purposes ,I was not interested in impressing you in any way . Kama uko na success stories za kupost ingekuwa vyema upost tuwe inspired kuliko kuleta alot of negativity kwa thread.
 
Ile ya yule dada mtengeneza viatu mbona hujaweka?

So u think this impresses us? Kwani huku hakuna watu wenye stori za mafanikio kama hao?
ni moja kati ya mengi.., wewe ulikua unatakaje?
 
Yes the youths of kenya are doing better on fetching reliable opportunities, as I had saw another girl think she is running gjenge company dealing with production of blocks and pavements from plastics and used tyres, thats dope.
 
Ni wivu na chuki inasumbua watanzania wengi humu, hawataki kuona kizuri cha mwenziwe, haswa Kenya, inawauma kuona any positive from Kenya., characteristics za inferiority complex.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…