The Story That Touched my Dreams and Ambition From Mohamed Dewji "MO".

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Hii habari Nimeisoma zaidi ya mara tatu bila kuchoka kwani mahudhui yake yamekonga sana moyo wangu. Huyu ni kijana mwenzetu ambaye tumebahatika kumuona (aidha kwa macho,au hata kumsikia) kwa namna alivyofanikiwa kupiga hatua kubwa sana katika maisha kiasi cha kumfanya awe "Role Model" wangu katika kutimiza ndoto zangu za kuja kuwa na maisha yenye mafanikio kibiashara kama yeye.

Miongoni mwa sababu hizo ni kuwa amepiga hatua kubwa miaka ya hivi juzi juzi huko tuliowengi tukimuona na sisi tukiona baadhi ya vitu ambavyo hatukudhani kuwa fursa , kwani mtu ukikumbuka baadhi ya fursa ulizoziona mwaka 1999,2003,2005 mpaka leo kwakweli kama kijana inabidi uhamasike kwamba inawezekana.
Pia nampenda "MO" kwa sababu ni kijana aliyepata mafaniko miaka hii ambayo wengi wetu tupo tofauti na matajiri wengine waliozichuma miaka ya mara ya 60, maiaka 70, miaka ya 80 , yaani ni vibabu wakongwe kama kina babu ,AZAM, IPP,SABODO, etc.
Kijana wa leo elimika na penda kujifunza kwa watu waliofanikiwa.
source:Africa Business Network

The $500 Million Baby: Meet 'Mo' Dewji, Who Vows To Be Africa's Richest Man Mohammed Dewji After studying business at Georgetown University, Mohammed ‘MO' Dewji returned to Tanzania, took over his father's commodities trading business and transformed it what he describes as a $1.3 billion (revenues) manufacturing empire .He plans to become the richest man in Africa by 2023.

It's a scorching hot afternoon in Morogoro, a small commercial city in the southern highlands of Tanzania, but Mohammed Dewji is the picture of cool. Dressed in a dapper pinstriped suit that accentuates his regal posture, the bespectacled young tycoon strides through the premises of a large textile manufacturing facility he owns. There's a spring in his step, and as some of the factory employees momentarily abandon their work to catch a glimpse of the boss, Dewji smiles and waves at them with the characteristic charm of a veteran movie star.

When he reaches a large group of women knitting cotton in the factory, they stop abruptly and jump excitedly to see him. Dewji does not visit often, and they are apparently quite excited to see him again. They acknowledge him with a traditional Swahili welcome song, and Dewji, blushing, immediately breaks into an impromptu variation of a local dance.

It's a bit hilarious watching him twist and twirl, but one can forgive him for the victory dance. Since 2003 when he took full control of Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL), a medium-sized commodities trading business his father helped found, Dewji has transformed the company into one of the largest industrial conglomerates in East Africa, with interests in manufacturing, distribution, trading, haulage, storage and real estate, annual revenues he says are $1.3 billion and a workforce of over 20,000 people. He's also earned an enormous fortune along the way – $500 million by FORBES' latest estimate, which puts him at the 38th position of our latest ranking of Africa's 50 Richest. At 38, he is the youngest member of the rich list, hence the sobriquet, ‘The $500 million baby'.

After getting a bachelors degree in International Business and Finance from Georgetown University, ‘Mo', as he is called, got a job on Wall Street where he worked 100-hour weeks and earned roughly $60,000 a year. But 60 grand is hardly enough when you're paying rent in Manhattan and over 30% of your earnings go to Uncle Sam. Within a few months of working in Wall Street, Dewji realized he needed extra financial support from his father.

"One day, I called my father and asked him to supplement my income. I was going through a financial crunch. Rent for my small apartment was $30,000 a year, and I was paying over 30% of my income in taxes. Life was really expensive," Dewji says.Mo's father politely declined to offer any more financial support, instead inviting him to return home and join the family business.

"My dad said I was chasing pennies in New York when there was a fortune to be made in Tanzania. He said I was just wasting my time in the U.S," Dewji recollects with a smile.On the heels of his father's advice, Mo, who was 23 years old at the time packed his bags and returned to Tanzania.

The year was 1999 and METL was a trading house. The company was doing roughly $30 million in annual revenues by importing and selling goods like salt, sugar, biscuits, confectionaries, toothpick and clothing. It also had a successful transport/haulage business. METL's business was wholly centered on its trading activities. For Mo, it was not challenging enough.

"Trading makes a decent amount of money, but I've always felt it is too passive. We were importing soap, which to me was ridiculous. Why import soap? Why couldn't we manufacture the soap ourselves?" Dewji says.

So he approached his father and suggested that they start manufacturing certain items. At first, Mo's father tried to dissuade him from pursuing his manufacturing plans. It was too capital-intensive and his father wanted Mo to focus on a business they already understood. But Mo, never one to remain in his comfort zone, studied the model, did the projections and made a compelling case to his father.

In 2003, the Tanzanian government put up some loss-making state-owned manufacturing assets for sale.

"These companies had been run down to bankruptcy and the government was selling them off at giveaway prices. It was the opportunity I had been waiting for. Most times, it makes more economic sense to buy up an already existing facility than building one from scratch," Dewji reckons.

Dewji, who was just 29 at the time, took a $1 million loan from his father and bought a soap manufacturing plant that was up for sale. He also acquired an edible oil refinery and a couple textile mills that were either defunct or underperforming. Using a lean management style, investing in technology and experienced personnel and cutting costs as much as possible, Dewji turned these facilities around and says he made them profitable in less than two years.

Dewji, now serves as the CEO of the METL Group, which has become the largest player in the textile industry in East Africa. One of the mills he acquired from the government is now 21st Century Textiles Limited, produces African wear, kitenge and khanga (traditional African print wraps for women), and produces 50 million meters of cloth annually. His two other textile mills, Afritex and Musoma, produce another 50 million meters of cloth annually, combined. The underperforming edible oil refinery that he acquired back in 2005 is now East Coast Oils and Fats, the dominant manufacturer of oils, soaps and fats in the country, with a 70% market share. Through an aggressive decade-long acquisition spree, Dewji has amassed other assets including a petroleum distribution company, the largest sisal farm in the country and extensive real estate within and outside Tanzania which all form a part of his METL Empire.

Dewji is keen on building Africa's biggest conglomerate, and promises he will be the continent's richest man in a few years time. "Just give me 10 years. I'll be the richest man in Africa. Dangote will have nothing on me," he says. - Forbe
source: Africa Business Network
 

Attachments

  • index.jpg
    11.2 KB · Views: 329
  • indexs.jpg
    6.4 KB · Views: 322
  • imagesf.jpg
    5.7 KB · Views: 319
Tofauti yake na yangu ni kwamba baba yake aliwesha weka msingi. Na aliweza kukopeshwa $1m. Mimi ukinipa nusu tu ya hizo hela leo, baada ya miaka kadhaa nitakuwa kama MO
 
Tofauti yake na yangu ni kwamba baba yake aliwesha weka msingi. Na aliweza kukopeshwa $1m. Mimi ukinipa nusu tu ya hizo hela leo, baada ya miaka kadhaa nitakuwa kama MO

Safi sana kwa mawazo chanya, ila kumbuka kuwa na model yako ya biashara kuifuata. Usiige
 
Tofauti yake na yangu ni kwamba baba yake aliwesha weka msingi. Na aliweza kukopeshwa $1m. Mimi ukinipa nusu tu ya hizo hela leo, baada ya miaka kadhaa nitakuwa kama MO

Safi sana... ila kwa upande wangu mimi yaani ananivutia jinsi alivyoweza ku badili kampuni lao kutoka kwenye ile hali aliyoikuta mpaka kufikia hapo lilipo leo hii, kwakweli anapaswa kupongezwa bw.MO.
 
Safi sana kwa mawazo chanya, ila kumbuka kuwa na model yako ya biashara kuifuata. Usiige

Ila unachosema kiko sawa, ila kuna "theme" kadhaa za kujifunza kutoka kwa hii story yake but only if ur an avid learner... najuamkuna baddhi ya watu wata ipotezea kwa jili ya lugha gongana ila iko nhjema sana na ina funzo kubwa sana kupitia maelezo yake na wewe mtu mwingine kutengeneza kitu chako .
 
Tofauti yake na yangu ni kwamba baba yake aliwesha weka msingi. Na aliweza kukopeshwa $1m. Mimi ukinipa nusu tu ya hizo hela leo, baada ya miaka kadhaa nitakuwa kama MO

Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kwamba mtaji ni lazima katika kukuza au kuanzisha biashara lakini kwa upande mwingine mtaji pekee hauwezi kuwa sababu tosha kuhakikisha mafanikio katika biashara
 

Yeah. Biashara anayofanya MO na wengineo ni zilezile zinazofanywa na watu wote, what if ukaja na kitu ambacho hakifanywi na watanzania?? Hakijawah kufanywa hapa east africa??
 
baba yake aliwalisha watanzania chakula kibovu mashaidi wa ile kesi wote walikufa vifo vya ajabu ni familia iliyotumia udhaifu wa viongozi wetu kujitajilisha baada ya kujiingiza kwenye udhamini wa simba na siasa wamesahau kila kitu fatilia familia za wale waliokuwa wazalendo wakafichua hujuma zake leo zinaishije hii ndio tanzania yyetu mtu yoyote bila kujali pesa amepata kihalali au kifisadi anaonekana shujaa
 
mo tayari alikuwa na exposure kubwa baada ya kusoma chuo cha biashara marekani na kufanya kazi wall street kwake ilikuwa ni msingi mkuu kuliko hta hizo 1million of dola
 
MO alikuwa na infrastructure into a place, alichokifanya ni kuincoporate elimu yake na opportunity zilizopo. I admire him sababu wapo watoto wengi ambao baba zao wana 1 Million dollar lakini wao wanachezea Vogue tuu hapo dar. Mfano kuna njia mbili za ukuzaji wa kampuni Organic Growth and Inorganic Growth. Kwa Tanzania inorganic growth ndio very common, alichokifanya more ni kuja na acquisition of infrastructure, something that is very new in Tanzania market.
 
Tofauti yake na yangu ni kwamba baba yake aliwesha weka msingi. Na aliweza kukopeshwa $1m. Mimi ukinipa nusu tu ya hizo hela leo, baada ya miaka kadhaa nitakuwa kama MO

utazifanyia nin?
 
you dont have to judge anything here, if you envy him for the millage he has gone, then change the attitude and think positively, you got something to learn from him.
 
The guy is superb, na amesema msubiri ndani ya miaka kumi maana anakwenda ki-supersonic speed, nyie pigeni majungu na kuendelea kujadili mechi ya Tz 11 na nani sijui, Mungu atanisaidia ntakuwa kama MO siku moja, let me fight, Tomorrow needs MO
 
He's a man.
MO knows to play the rules, he watches the trends, mostly those political ones. He stays calm, neutral never insults the g/ment nor the opposition. He knows where the ball is rolling, sport it and secretly finance it.

Oyah MO, keep me a sit there at billionare's club, im coming...
 
Sure... let we perpetuate such spirits so that we can reach our targets. Never give up when ur striving for an excellence.
 
The guy is superb, na amesema msubiri ndani ya miaka kumi maana anakwenda ki-supersonic speed, nyie pigeni majungu na kuendelea kujadili mechi ya Tz 11 na nani sijui, Mungu atanisaidia ntakuwa kama MO siku moja, let me fight, Tomorrow needs MO

Exactly.... coz when MO will come to give his testimony after 10yrs there are some who will come to say "ooh Ghosh what a pity....? He used to say so ... coz wa tz hatupendi kuyaishi maisha ya mafanikio ila twapenda propaganda tu.
 

Lakin kuna wadau wana kuwa na mamilioni lakini wanaishia kuwa masikini wa kutupwa na kubaki kulaumu ...ooohh ningejua ...ningejua. Muda ndio huu , better we take deliberate actions so that after ten years when u come at this platform , then u can justify before us what u did .
 
utazifanyia nin?

Ona hili kifuu la nazi ....haya ndo dogma mind siku zote. Hivi wewe mtu atafute hela kwa jasho lake kisha uje kumuuliza a'atazifanyia nini?" ahahahaaa...shame on you for your archaic if not barbaric words.
 
Jamaa ameweza fikia billion club hata 2020 bado...kweli Dangote ajicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…