The Story That Touched my Dreams and Ambition From Mohamed Dewji "MO".

Ok.. ila Sikumaanisha uzawa wa kununua. Kule india hata ukinunua watakusulubu tu
 
Mo wait for me

the battle will be more harder
 
Wazawa tunafikaje kny hio club?

Utabaki kwenye issues zisizo na maana..awe mzawa, awe foreigner, awe mzawa feki... what does it matter??

Wewe ukitaka kufika huko, do things that 'matter', acha u-'antimatter'

Na badilisha jina lako pls!!
 
Ok.. ila Sikumaanisha uzawa wa kununua. Kule india hata ukinunua watakusulubu tu
Chuki binafsi tu dhidi ya kabila au rangi fulani hio... kama vile mara nyingi wachaga wanachukiwa na baadhi ya watu kwa sababu tu wengi wao wanafanikiwa...

Achana na mambo za India... huku kwetu kama sio hivyo, ina maana tuko vizuri... so take the opportunities you have in your country and move forward... kwani Mungu ndio alipanga nani azaliwe wapi... stop this hatred attitude... nchi zote zinaendeshwa na sheria kwenye dunia ya leo...ilaumu serikali kwa kukubali kuwapatia uraia wale wasio originally from Africa.. na kama sheria inaruhusu watu wasio na rangi ya kiAfrika kupata uraia kihalali, you are just wasting your time by thinking petty... na kwa kweli ni dhahiri kwamba umejaa na uchuki tu...

Grow up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…