Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!
You are wrong about Nyerere. Nyerere was so charismatic and loved by the people that he managed to sell a corrupt guy as Mr Clean and people agreed with him and elected him president kwa Ushindi wa Kishindo. You know why because they loved and believed in Nyerere so much.
unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!
somewhere in Tanzania; president of the republic
somewhere in Tanzania; President of the Republic..
what is wrong? one of them is seen to be out of touch with his people, some have even considered him to have been a dictator of sort; the other is liked by a lot of people to the point of being considered a president for life if they have their way.
Kwenye picha hizo tofauti kubwa ni kuwa Nyerere anaonekana active, afya nzuri, very composed body, na mtu mwenye uhodari wa kazi. Ona alivyochuchumaa, kikakamavu.unajua kinachonisumbua ni kuwa kama mtu unaenda shambani kwanini hutaki kuchafuka? Yaani mtu anataka kulima halafu asitoke jasho na achezee udongo bila kupata vumbi? I have a suggestion.. kwanini asivae nguo za kazi anapokwenda kwenye matukio kama hayo? probably hana hizo nguo!
mimi naamini ni advancement ya sciences na technologies ndiyo inayowatofautisha
That is what I, Baba_Enock, call DICTATORSHIP!
I love this forum! Nimefurahi ngoja nipambane kujenga Taifa sasa maana kweli hawa walikuwa ni two worlds apart.
Mwanajeshi wa nini sasa? Kujenga au kwenye agenda zingine zingine za kijeshi maana Nyerere alikuwa anabeba mawe mazito utafikiri alikuwa sio muheshimiwa.Duh! He was special
halafu Kikwete si mwanajeshi huyu?
Leo ndio leo anayesema kesho ni muongo.Duuh!Alikuwa nazo, kama hii:
Mkuu imenishitua sana. Kuna tofauti kubwa kati ya hawa viongozi wetu kiasi kwamba ni ngumu mno kusema wanakaribiana.Tangu lini wakwere wakalima na kupanda miti..you know what wanajua kuimba na kucheza ngoma...mwambie awaimbie nyimbo zote za TOT anafahamu.
Nyerere na watu wa musoma ni wakulima na wafugaji lazima wawe tofauti sana...
Nimependa hizi picha imeonyesha tofauti kubwa sana kiutendaji