The Tale of two pictures: Whats wrong?

Mwalimu alikuwa moto wa kuotea mbali, ambao hamkubahatika kuona vitu vyake shauri yenu. Wote hawa akina Kikwete, Mkapa, Mwinyi et al wanafahamu vitu vyake, basi tu wanajibalaguza.

BTW moto utakaokuja kuwaka sijui nani atauzima.
 
Tata,
Dictator si lazima awe litumia Nguvu za Kijehsi kuingia madarakani. Wako wengi waliogeuka Madictator baada ya kuchaguliwa. Pamoja na mapenzi yangu kwa Mwalimu sitakiuka ukweli kuwa Alama za Dictatorship alikuwa nazo!
 
Hauwezi kumfananisha Mwalimu na Muungwana hata kidogo!
 
Nenda kanisa la Butiama uingie ndani utapata picha zaidi!!!

Picha za kiongozi wa nchi kanisani za nini ? Sijawahi kuona picha ya kiongozi wa nchi duniani hata UK ambapo Mtawala ni kiongozi wa Kanisa Anglikana. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utasikia ya Firauni.
 
Ameambiwa atoe mifano, including you!

Mifano mingi ilishatolewa ya huyu Tyrant,hapa hapa JF,kulikuwapo na Threads nyingi huko nyuma za kumuhusu Baba wa Taifa Mwalimu JK,hivyo sina haja ya kudurusu kilicho andikwa huko nyuma ndio maana nikamuuliza kwamba ,"hajui?"
Unless wewe uwe unatatizo!ningekushauri kabla ya kurukia utafute kwenye Archive.

Alafu,Jakaya kwa nionavyo mimi kwa muda wake huu wauongozi,angetawala hata nusu tu ya jinsi ya Mwalimu alivyo tawala (ukiondoa hii sijui kushika udongo au kwenda kulima na jembe shamba (wakati wenzetu wanatumia ma-tractor kulima) na kubeba tololi for show ) ni wazi kabisa tungekuwa tuko kwenye giza kiasi hata JF isengalikuwapo.
 
Haya ndiyo maisha tuliyoichagulia. Tukisema anastahili kuitwa baba wa Taifa wengine wananuna.
 
Ndo maana baada ya kuapishwa 2005 akawaambia wapigadebe wake walikuze jina la JK ili kujaribu kujifananisha na JK orijino....

I am handsome lakini siyo kigezo cha uaminifu kwa ndoa yangu. lazima nifanye mambo kwa busara ili niweze kuilinda taswira yangu njema. (mwenye kusoma afahamu)
 

I do not blame you and your attitude. It reveals that you were born only yesterday and know nothing about the past or even Mwalimu as such! Regardless of what has been said in the past here at JF, kama kweli Mwalimu alikuwa dictator ni wazi si vigumu ku-prove it even if for 100th time.
 

Mkulu,

Sio lazima unacho amini wewe ni kizuri na mimi niamini hivyo.Na hii haijalishi umri,na inonekana unashindwa kutumia umri wako vizuri na unataka kunilazimisha mimi kuamini uyatakayo niyaamini.
 
Wajameni dunia inazunguruka.

alichokifanya Nyerere alikimaliza wa sasa wanatakiwa kufanya mambo mengine. Kama Nyerere alivaa shati juliana na sulruali pima kwa mwaga mnataka kila kiongozi afanye hivyo?? aa bwana mambo mengine ni kuoneana tu.

Nyerere kama aliogea alifulia mangwaji na mimi kafulia OMO basi nionekane sio kiongozi safi??

Tena kwa taarifa mavazi hayo ya Nyerere wakati huo naye alionekana bishororo na viatu vya kisasa .Katambunga mbona hajavaa?
 

Hatuongelei different technologies za wakati ule na huu tunaongelea mwonekano wa taswira ya kiongozi bora, uongozi ni uongozi haupimwi kutokana na ubora wa technology unayotumia unapimwa kutokana na mazingira uliyonayo ya wakati huo kuna viongozi wa zamani hawakuwahi wala kupanda ndege lakini walikuwa viongozi bora mambo sijui ya magwanji na omo hayana nafasi katika uongozi
 
watu itikadi zimewajaa akilini mwao wala hawasomi nyakati na majira yake.

Watanzania tuna kasumba ya kutopenda kuambiwa ukweli na tunaendekeza ushabiki
 
Mkulu,

Sio lazima unacho amini wewe ni kizuri na mimi niamini hivyo.Na hii haijalishi umri,na inonekana unashindwa kutumia umri wako vizuri na unataka kunilazimisha mimi kuamini uyatakayo niyaamini.
Is it too much to ask? Prove it pal!
 

Wanasema "a picture is worth a thousand words" MKJJ, ahsante sina la kuongeza. Hizi picha kwa kweli zinatoa vielelezo vingi tu! Hafai huyu lakini tunao watu ambao aliwataja, ile % ipo ipo tu, hawa ni kama Sikio la kufa halisikii dawa.
 


sasa kama ni hivyo mbona mnamushambulia kwa kutia mkeka, sijui mwingine kachuchumaa eti shupavu? teh teh teh contadiction nyingi.

Mhukumuni kwa matendo na si mambo ya picha, uko servative nafikiri nalo ni tatizo sana kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…