Tunakwenda na wakati. Enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna digital camera😕
Sawa GS zama zimetofautiana nikupe mfano mmoja tu simple wa ethics za uongozi anyway si lazima awe kiongozi mtu yeyote sheria ya kujamiiana imekuja juzi juzi tu zamani haikuwepo lakini code of conducts zilikuwepo kiongozi alitakiwa aji behave kama anavyotakiwa wa sasa kiongozi akionekana amelewa hadharani na kujidhalilisha ama kutembea na wanawake hovyo au kubaka alikuwa anapoteza hadhi ya kuitwa kiongozi hakukuwa na hizi sheria wala hili haijalishi technologia nzuri au mbaya kiasi gani
Tata,
Dictator si lazima awe litumia Nguvu za Kijehsi kuingia madarakani. Wako wengi waliogeuka Madictator baada ya kuchaguliwa. Pamoja na mapenzi yangu kwa Mwalimu sitakiuka ukweli kuwa Alama za Dictatorship alikuwa nazo!
mimi naamini ni advancement ya sciences na technologies ndiyo inayowatofautisha