Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni vita baridi ambayo T.Z inapigana na Kenya. Lakini tutaona ni nani atashinda. Hamuezi kushinda Kenya kwenye vita baridi
Hii ni vita baridi ambayo T.Z inapigana na Kenya. Lakini tutaona ni nani atashinda. Hamuezi kushinda Kenya kwenye vita baridi
Nyie ndio mnaoanzisha lakini mnaanguka vibaya sana, mlianzisha gas na ngano lakini saizi zinaingia kwa fujo tena two times than before, hiyo issue ya university vimefungiwa vyuo 19 na course 75 zimefutwa nyie mkiongoza group la makanjanja.Hii ni vita baridi ambayo T.Z inapigana na Kenya. Lakini tutaona ni nani atashinda. Hamuezi kushinda Kenya kwenye vita baridi
Wanahabari wetu wako macho, jambo lolote likitokea kokote duniani na lina uhusiano na Kenya, watalijua mara moja , si kama wanahabari wenu manangojea hotuba za CCM itaje kitu alafu ndo waripoti kilicho tajwaWanapenda sana kujiweka kwenye spotlight
This is simply misinformation and hate propaganda! TCU has blacklisted about 19 university colleges. It is no like the move targeted Kenyan University colleges only. Plus, a balanced report should have at least stated reasons why the colleges were blacklisted or show the facilities owned by those colleges. Most of the banned colleges have meagre facilities and operate from residences.
Hakuna Vita hapo, Na vya TZ vilivyofungiwa?Hii ni vita baridi ambayo T.Z inapigana na Kenya. Lakini tutaona ni nani atashinda. Hamuezi kushinda Kenya kwenye vita baridi
Can you pls right 140 characters mentioning jkua and ku being banned from admitting students in Tz.. And also mention the other unis and see if you can fit all that in complete sentences in 140 characters..This is simply misinformation and hate propaganda! TCU has blacklisted about 19 university colleges. It is no like the move targeted Kenyan University colleges only. Plus, a balanced report should have at least stated reasons why the colleges were blacklisted or show the facilities owned by those colleges. Most of the banned colleges have meagre facilities and operate from residences.
Sijawahi Luna mkenya kenge kama wewe. Hapo ndipo ulipoishia?Wanahabari wetu wako macho, jambo lolote likitokea kokote duniani na lina uhusiano na Kenya, watalijua mara moja , si kama wanahabari wenu manangojea hotuba za CCM itaje kitu alafu ndo waripoti kilicho tajwa
Naona ccm inapeleka homa hadi Kenya. Huyo atakuwa jubilee.
Mkenge ni wewe na nyanyako na hao walionza na kuandika reply za kipuzi hapo juu...