Zanzibar 2020 The Telegraph: Tanks sent to tourist island of Zanzibar as Tanzania's strongman leader eyes indefinite rule

It's ridiculously to level accusations against the Government of Tanzania without presenting any credible evidence

It's a shame for such accusations to have to come from such a highly regarded newspaper!
Evidence hiyo. Una macho Tamara na uone na una masikio Sikia na uwe msikivu
Au ndo wale wakukremuka! Elimu burereeeeee!!
 
Asanteni gazeti maarufu the Telegram, ni vyema dunia ijue yanayojiri Tz, ccm mjue hampo salama pia kwa chuki mnayoijenga.
Lissu kawapa moyo vijana wengi, wajinga na waoga wanapungua kwa kasi.
 
Jumatano tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Tutamfundisha pia msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
Naona gongo limekuzidi , Jee umelichanganyisha na bangi ya Chato ?? au woga wa uchaguzi unaanza kukutoa akili . Kila thread unabweka bweka na kujambisha
 
TANKS AGAINST IMPERIALISTS
Scapegoat!!!!! TANKS AGAINST WORDS AND STONES. Imperialists have long range guided missiles, nuclear bombs, etc etc tanks, unmanned wont do prevent them from attacking if they wish. Tanks against un-armed protestors.
 
Hawa Telegraph ni wajinga kiasi hiki eti Ghost voters 120,000 hivi kweli JPM anahitaji kuiba kura 120,000 ili ashinde urais wa Tz wakati hizo ni kura za kata ya Sakina. Duniani wajinga hawatakwisha hata huko Ulaya hususani Uingereza.
 
JPM anashinda huu uchaguzi
Mwinyi anashinda huu uchaguzi
Hao mabeberu hawatufanyi kitu
 
Jumatano tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Tutamfundisha pia msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji kuwa usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa

Naona gongo limekuzidi , Jee umelichanganyisha na bangi ya Chato ?? au woga wa uchaguzi unaanza kukutoa akili . Kila thread unabweka bweka na kujambisha

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Telegraph ni wajinga kiasi hiki eti Ghost voters 120,000 hivi kweli JPM anahitaji kuiba kura 120,000 ili ashinde urais wa Tz wakati hizo ni kura za kata ya Sakina. Duniani wajinga hawatakwisha hata huko Ulaya hususani Uingereza.

Kwa zanzibar wapiga kura 120,000 ni wengi sana... hao 120,000 wakimpigia kura mwinyi zanzibar.. anashinda kabisa.... zanzibar wapiga kura ni wachache sana
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi

Pia Tanzania hatutaki ushoga,

KAMWAMBIE HUYU SHOGA ALIYEMPA UWAZIRI SHOGA MWENZAKE

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…