Zanzibar 2020 The Telegraph: Tanks sent to tourist island of Zanzibar as Tanzania's strongman leader eyes indefinite rule

Seems Chama cha pale ufipa mmezoea kuua !
Nyie ni chama cha siasa au genge la uhalifu?
Kwa jinsi ulivyo na akili mbovu haki ya nani ningekua nakujua siku mambo yakiharibika ningekufyeka likichwa na kulitembeza njiani, pumbafu sana unashabikia upuuzi?
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Huu ushabiki na unafiki wa kijinga tufikie mahali Watz tuuache.
Hizi ni video clips zimepigwa toka Zanzibar kupitia Smartphones na kurushwa through Social media halafu mwendawazimu mmoja unasema Ni uwongo wa CHADEMA???Non-sense!
 
Gazeti linamilikiwa na mababeru unafikiria wataandika nini kuhusu tanzania, ccm na rais wetu mzalendo.

CCM Bara na Visiwani kuna mnachokitafuta na mtakipata kwenye Uchaguzi huu Live bila chenga! Watz wamechoshwa na Utawala wa kulazimishwa!
 
The Telegraph ni Gazeti la Uingereza. Walichoandika ni Ukweli na Uwazi pasi na kupepesa macho wala kumung'unya maneno kama Media zetu za Tanzania.
Tanks hata zingekuwa 500 barabarani hakuna shida wewe nenda kapige kura Wala tanks haikuzuia kupiga kura....kila mtu afanye kazi yake tusiingiliane.Tupo kuangalia usalama wa nchi mzima na tanks zingine tumepeleka kusini mwa nchi mbona husemi tena mchana kweupeee usitupangie Cha kufanya....kila mmoja afanye wajibu wake...nenda kapige kura na Kama Kuna tanks zitakuzuia tujulishe haraka
 
CCM Bara na Visiwani kuna mnachokitafuta na mtakipata kwebye Uchaguzi huu Live bila chenga! Watz wamechoshwa na Utawala wa kulazimishwa!
Hakuna kinachotafutwa Bali ni kukumbushana tu taratibu
 
Kula ugali ukalale na hivyo vimkwara ukawapige kwenu singida mashariki

Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi, pia Tanzania hatutaki ushoga,
CCM Bara na Visiwani kuna mnachokitafuta na mtakipata kwebye Uchaguzi huu Live bila chenga! Watz wamechoshwa na Utawala wa kulazimishwa!
 
Huo ni uzushi
Huu ushabiki na unafiki wa kijinga tufikie mahali Watz tuuache.
Hizi ni video clips zimepigwa toka Zanzibar kupitia Smartphones na kurushwa through Social media halafu mwendawazimu mmoja unasema Ni uwongo wa CHADEMA???Non-sense!
 
Kwa jinsi ulivyo na akili mbovu haki ya nani ningekua nakujua siku mambo yakiharibika ningekufyeka likichwa na kulitembeza njiani, pumbafu sana unashabikia upuuzi?
Me nita lichemsha kabisa nipige supu
 
You can say anything you want but zanzibar will not be let to fall in the arms of those who were overthrown in the 1964 revolution. Also you can say what you want about magufuli but tanzanians know they have never had a result oriented leader like him who has helped fight corruption and catapuled the economy of the country to the benefit of ordinary people.. Go on and say anything but tanzanians are going massively to elect magufuli and ccm both in zanzibar and in the mainland.
 
Wee sarungi bora umfuate mama yako ulaya pumbafu wewe. Watz wanataka utulivu na maendeleo. Hao wajomba zako wanakutumia ili muendeleze mfumo wa kupora nchi yetu waafrika tukiendelea kua masikini. Wee endelea tu na umbea wako.
 
Tumia kiswahili ndugu unajivua nguo na hii lugha ya mabeberu
 
CCM Bara na Visiwani kuna mnachokitafuta na mtakipata kwebye Uchaguzi huu Live bila chenga! Watz wamechoshwa na Utawala wa kulazimishwa!
Unazungumza kwa niaba ya waliotolewa madarakani. Waambie hawarudi tena ndio ishatoka hiyo.
 
cobbled streets in the iconic district of Stone Town as the East African nation lurches towards a general

Acha ujinga wako
 
cobbled streets in the iconic district of Stone Town as the East African nation lurches towards a general

Acha ujinga wako
 
Huu ushabiki na unafiki wa kijinga tufikie mahali Watz tuuache.
Hizi ni video clips zimepigwa toka Zanzibar kupitia Smartphones na kurushwa through Social media halafu mwendawazimu mmoja unasema Ni uwongo wa CHADEMA???Non-sense!
Mbona hazionyeshi zimepigwa lini na wapi? Tutaaminije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…