Gee! Jana wakati hii habari ilipokuwa ni Breaking News ulikuwa unalijua hili la kugonga Fire Hydrant!? 😕
Hell has no wrath like a woman scorned! Making a honourable retreat in SUV was best option even for a champion Golfer.Siku njema wana JF.Kuwapa update ni kwamba kulikuwa na argument na majeraha aliyopata yalitoka kwa mkewe, that explains why his wife was holding a gold club. It's interesting kwamba the two most popular black men in the world were under threat almost at the same time, kutoka kwa wanawake wanaofanana sana.
.........................................
Tiger Woods: Injuries Caused by Wife, Not SUV
Posted Nov 28th 2009 12:08AM by TMZ Staff
Tiger Woods did not suffer facial lacerations from a car accident. They were inflicted by his wife, Elin Nordegren -- according to a conversation Woods had Friday after the accident.
Tiger has yet to be formally interviewed by the Florida Highway Patrol -- that should happen this afternoon. But we're told Tiger had a conversation Friday -- with a non-law enforcement type -- detailing what went down before his Escalade hit a fire hydrant.
We're told he said his wife had confronted him about reports that he was seeing another woman. The argument got heated and, according to our source, she scratched his face up. We're told it was then Woods beat a hasty retreat for his SUV -- but according to our source, Woods says his wife followed behind with a golf club. As Tiger drove away, she struck the vehicle several times with the club.
We're told Woods became "distracted," thought the vehicle was stopped, and looked to see what had happened. At that point the SUV hit the fire hydrant and then hit a tree.
We're also told Woods had said during the conversation Friday he had been taking prescription pain medication for an injury, which could explain why he seemed somewhat out of it at the scene.
http://www.tmz.com/2009/11/28/tiger-woods-elin-nordegren-fight-accident-suv-lacerations/
Ndiyo nilikuwa najua kuwa amegonga fire hydrant (ukisoma post yangu ya kwanza kwenye hii thread ilikuwa zaidi ya masaa 12 baada ya ajali kutokea). Yani mtu maarufu mweusi asipatwe na kitu ata kama ni kwa uzembe wake lazima kutakuwa na kuna mkono wa wazungu, hao wazungu wakija kukuomba ushahidi utautoa?
Ha ha ha ha eti nitoe ushahidi!!! 🙂 LOL! Basi hao polisi au Wazungu watakuwa na kazi ya kupitia bloggers mbali mbali ambao walikuwa wanaspeculate mambo mbali mbali kuhusiana na ajali hiyo ya TW. Mpaka sasa hivi bado ni speculation tu kwamba ajali hiyo ilisababishwa na nini mpaka hapo TW na mkewe watakapoamua kuongea kama wakiamua kufanya hivyo.
Wanasheria wengine wanadai TW hana obligation ya kujibu swali lolote lile la polisi zaido ya kuwaonyesha ana genuine driver's licence.
Pitia web sites mbali mbali uone ile Ijumaa watu walikuwa wanaandika nini kuhusiana na ajali hiyo kabla haijajulikana kwamba ilikuwa ni single car accident.
Hii mbona ni ajali tu ya kawaida, sometimes viajali kama hivi huwa vinatutokea............kwa kuwa Tiger Woods celebrity basi imekuwa nongwa.
No, Tiger Woods kapata ajali kwa sababu ya ubaguzi wa wadhungu wa Marekani!
Sioni uhusiano wowote wa hii ajali na ubaguzi wa rangi kutoka kwa wazungu.
Hivyo hivyo baada ta breaking news za ajali ya TW watu chungu nzima walikuwa wanaspecualte vitu mbali mbali kuhusiana na ajali hiyo kabla haijajulika ilikuwa ni single car accident. BAK naye alispeculate nini kinaweza kuwa chanzo cha ajali hiyo kabla ya kufahamu kwamba ilikuwa ni single car accident.Sasa kuna njemba zinataka BAK atoe ushahidi eti kwa speculate!!!! LOL! basi mamilioni ya watu duniani ambao nao kama BAK walispecualte chanzo cha ajali ile nao watatakiwa watoe ushahidi! ha ha ha ha....LOL!
Ungekuwa unajua kuhusu baadhi ya Wazungu wanavyowachukia weusi wala usingeshangaa na nilichooandika. Vitisho dhidi ya maisha ya Obama vimeongezeka kwa idadi kubwa sana ukilinganisha na Rais yoyote yule na naamini kwamba vitisho hivi asilimia kubwa vitakuwa ni kutoka kwa Wazungu. Hii inatokana na chuki binafsi za baadhi ya Wazungu kwa weusi. Tiger Woods pamoja na mafanikio yake makubwa bado kuna viwanja ambavyo alikuwa haruhusiwi kucheza kutokana na ngozi yake nyeusi mpaka miaka ya hivi karibuni
Matusi pia nayaweza, but I am not going to follow you on that path. Utabadilisha majina kila kukicha ili kuficha wewe ni nani lakini tunaokujua tunajua wewe ni mtu wa aina gani. Mwenyezi Mungu akuzidishie kwa lugha yako chafu.
Kama stupid siyo tusi kamwambie baba yako stupid halafu ujaribu kumconvince kwamba stupid siyo tusi. Anyway, Never argue with a fool, people might not know the difference, that is my motto when it comes to you.
Habari ni kwamba, Baada ya mkewe kuweka a private investgater ku mmonitor mumewe na kugundua kua huwa ana chat kwenye gay website moja ,so Mkewe aka mfuta na kumpa ushahidi wote ,Tigger akawa hana jibu so akaanza ku pandisha hasiria kumtisha mkewe , ndio mkewe akaingia kwenye sports room na kuchukua golf club na kuanza kumkimbiza mumewe!
So Tigger alikua anamkimbia mkewe ambaye alikua ameshika golf club , ili ambaruze nayo , huku Tiger akitoka baruti ,kuingia ndani ya gari na kuwasha NA KUONDOKA kwa SPEED YA 120 , NDIPO mkewe akarusha ile golf club na kuvunja dirisha na Tiger ku panic na ku lost control ya gari na ku gonga hiyo fire Hydrant na kuuvaa mti. habari ndio hiyo!
Tanzania...au hujaexperience hio?