Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Afrika tusahau kabisa kuingia huko, maana wakati wenzetu wanasoma ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali sisi tunasoma ili tupate ajira nzuri
Yaani Wayahudi wangekosa hapo sijui ingekuaje jamaa kila mtaa wana maktaba ya kujisomea vitabu yaani siyo kama bongo kila baada ya nyumba unakuta bar.
The top 10 most-educated countries are:
1. Canada
2. Israel
3. Japan
4. United States
5. New Zealand
6. South Korea
7. United Kingdom
8. Finland
9. Australia
10. Ireland
chanzo. And the World's Most Educated Country Is… | TIME.com
Afrika tusahau kabisa kuingia huko, maana wakati wenzetu wanasoma ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali sisi tunasoma ili tupate ajira nzuri
Nazi kweli kweli Africa mpaka tuingie humu Mimi na wewe mkuu mzizi mkavu tutakuwa tushageuka matamahuluku then Mafuta aisee
Yaani Wayahudi wangekosa hapo sijui ingekuaje jamaa kila mtaa wana maktaba ya kujisomea vitabu yaani siyo kama bongo kila baada ya nyumba unakuta bar.
hata nchi moja tu ya afrika jamani kweli tupo nyuma
]Afrika tusahau kabisa[/B] kuingia huko, maana wakati wenzetu wanasoma ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali sisi tunasoma ili tupate ajira nzuri
Njaa, na watawala wetu hawajali lolote la utafiti
Nimerudia kusoma mara mbili mbona Tanzania siioni?
Afrika tusahau kabisa kuingia huko, maana wakati wenzetu wanasoma ili kufanya tafiti na gunduzi mbalimbali sisi tunasoma ili tupate ajira nzuri
Njaa, na watawala wetu hawajali lolote la utafiti
Mkavu, hapa wanaangalia vigezo gani. Wingi wa universities, university graduates, (nationals of those countries) naomba ufafanuzi!
ha ha ha haaaaaaaaaaaa! dah inachekesha japo haya ni majanga!tanzania education system
tanzania education system