[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji126] [emoji126][emoji52][emoji52]
Abee honey wangu mpenzi
Poa sijui kwenuMambo mamy...
Nimekuja mpenzi wangu mimiAtakuja soon ngoja nimwambie
Hahahahha makosa ya kiuandishi tu lakini ujumbe s umepata?[emoji106][emoji106]usikosee sikuingine kuandika jina la mpenzi wako ni kama pumzi kila sekunde unaivuta
Ndio honey wangu nimeshathibitisha kipenzi
[emoji11] [emoji11]Koh umenuna kweli....hawa watani zangu tu walai tumekutana njian tu
Ulimwonea wivu eeh?ππSasa ile zawadi ulopewa na CHARMILTON unaiupdate kwa jina gani hapo kwenye list?
Akuuuu!! Wivu wa nini sasa!!Ulimwonea wivu eeh?ππ
Namba ya kwanza kuzidi moja, tupepee hewaniI heart you darling.
Unataka tuwe namba ngap hapo
Wivu wa zawadi,......au wewe hupendi zawadi?Akuuuu!! Wivu wa nini sasa!!
Kwakweli kwa zawadi kama ile sitaki, inipite tu pembeni.Wivu wa zawadi,......au wewe hupendi zawadi?