The truth about u women

You are very wrong mama wa sabusitensi.

Kwetu sisi waafrika tuliobobea katika mila na desturi zetu, wanawake wote wenye asili ya jamii ya kwetu ni mama zangu (ukiondoa yule ntakayemuoa labda). Mathalani mimi ni mchaga, akatokea mtu wa kabila tofauti akamuoa mchaga mimi ntamuita shemeji hata kama aliyeolewa si dada yangu. Sasa kama Mheshimiwa mama yake ni mha, halafu mama yake huyo akaolewa na mkwere, basi waha wote wa kiume ambao kimila ni kaka zake mama yake anastahili kuwaita wajomba. (Hapa ni kimila na kidesturi zaidi lakini, sijui nyie wenzetu msiosimamia mila na desturi zetu) Samahani kama hujanielewa, jana sikunywa za kutosha!!
 
Ukianza kuchunguza mtoto ni wako au la... utapata Sheli, Total, Engen, BP, NK (ugonjwa ya Moyo) na aibu tele... unakumbuka shuka wakati kumekucha??
 
Mpwa unajua nilitaka kufika huku lakini kauli yangu ilikuwa imenifunga na ndio maana nikaona nikubali yaishe,I konw my presentation was not good ingawa nina hakika jamaa aliyeniambia maneno yale alikuwa na maana kama ulivyoeleza wewe.
 
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!
 
Thibitisha kwa hapa hapa:
The Following User Says Thank You to Che Kalizozele For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 
Kuepuka hili Geoff aliextend honey moon ili wakitoka huko awe na uhakika wa mtoto 101% ni wake
 
nimecheka kweli...lol.... cku zote mjue mama ndio mwenye uhaika mtoto ni wa nani.
 
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!

Hilo kwa kweli sijui
 
Kuepuka hili Geoff aliextend honey moon ili wakitoka huko awe na uhakika wa mtoto 101% ni wake

Nyie mnacheza... kabla hajaenda saluni anapita kunako kuaga kabisa... anaingia kwenye ndoa ana kitu tayari... we unaongezea masikio na kucha tu
 
Kuna jamaa aliniambia eti kama una mtoto wa kiume halafu halafu haelewani kabsaa na baba yake yaani "hazipandi" basi ujue ulichezewa dere sijui kuna uweli wowote!!

haaa uwii, dunia ina vituko kweli.
 
Nyie mnacheza... kabla hajaenda saluni anapita kunako kuaga kabisa... anaingia kwenye ndoa ana kitu tayari... we unaongezea masikio na kucha tu

Michango kama hii itasababisha nisiowe kabisa!
 
lol, unahic akipewa chance kidunchu tu utafiti umevurugika....haki ya nani una balaa kali.
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?
 
Nyie mnacheza... kabla hajaenda saluni anapita kunako kuaga kabisa... anaingia kwenye ndoa ana kitu tayari... we unaongezea masikio na kucha tu

nimecheka kwa nguvu!...nimekupenda bureeeee.
 
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?

nyie mnaaminika kwa lipi?..hapo baba mtu angekuja kuambiwa junia kafanana na wewe komwe, lol
 
nimecheka kwa nguvu!...nimekupenda bureeeee.
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…