The truth about u women

nyie mnaaminika kwa lipi?..hapo baba mtu angekuja kuambiwa junia kafanana na wewe komwe, lol
Ukiona waifu anakuimbia wimbo mtoto kafanana na wewe sijui kucha, nywele, ulimi au kisigino ujue umeliwa. Kwanini akuambie wakati mwenyewe unaona bana!
 
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?

Hakuna mila ndugu yangu Chrispin... uwe na amani tu... nilikwambia tunatoa ushauri wa kiroho zaidi
 
Utamkosea haki mzenji.
btw mie nilijua mzenji keshakufunga pingu maana Penzi ulilotunukiwa naye lilikupagawisha sana.
Nimeipenda sana avata yako mpya. Ila hiyo signature naona kama inanikwaza LOL

I AM TIRED OF ILLUSIONS !!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!
 
Ndio maana mimi matatizo ya ndoa yangu siyapeleki kanisani. Sasa ushaanza kumpenda askofu wa watu, mila itakwepeka hapo?

matatizo ya ndoa hayapelekwi popote, unakomaa nayo mwanzo/mwisho, ukianza kupeleka tatizo lako mahali popote ujuwe ndio unastawisha matatizo zaidi.
 
Hahahaha! Anaogopa kulea mamluki?
Si utani, mi ndio maana mabinti zangu napenda waniite Chris zaidi kuliko kuniita baba. LOL!

Hafalu hizo za hanimuni ndio hazina Audit kabisa... jamaa anashangilia akidhani anajua kulenga kumbe... mwe... (Geoff, tafadhali usianze kufanya Audit...plz...)
 
naona another dimension Chris.. nimekubali
 
Ukiona waifu anakuimbia wimbo mtoto kafanana na wewe sijui kucha, nywele, ulimi au kisigino ujue umeliwa. Kwanini akuambie wakati mwenyewe unaona bana!

wakati mwingine hulioni sema unaogopa kuuliza....lol
 
Aisiiii! Sikujua hilo! Ngoja leo nikatuangalie kwa karibu tule tubinti twangu tuwili LOL!
Duh! yaani ndo hamna imani na sie hvo pamoja na yoote tunayowafanyia eeh mungu wasamee wanaume hawa maana hawajui walisemalo na kulitenda.
 
Utamkosea haki mzenji.
btw mie nilijua mzenji keshakufunga pingu maana Penzi ulilotunukiwa naye lilikupagawisha sana.

Cohabitation my dear no marriage yet!
 
Nimeipenda sana avata yako mpya. Ila hiyo signature naona kama inanikwaza LOL

I AM TIRED OF ILLUSIONS !!!!!!!!!!!!!!!!!!

Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni!
Ngoja niiedit hiyo signature.Ili isikukwaze!
 
duh! Yaani ndo hamna imani na sie hvo pamoja na yoote tunayowafanyia eeh mungu wasamee wanaume hawa maana hawajui walisemalo na kulitenda.

hamtabiriki wala hamuaminiki ndio maana. (isipokuwa wewe, usisahau nimekukaribisha mimi wa kwanza)
 
Kwa mara ya kwanza nimekamata senksi kutoka kwa sabusitensi. Hureeee!

Mpwa hebu kaa kando kidogo nitesti zari hapa.
Kwa kusoma pembeni ya mistari........utupe results hapa!
 
(mmh! mie naogopa bado mdogo) Hata nie hamtabiriki na kuaminika
Kutabirika tunatabirika.kirahisi tu! ila KUAMINIKA ndo sahau kabisa!! Sisi ni kama FEDHA, huwezi kuweka imani yako kwenye fedha, tuna matumizi mengi, tunaweza kutumika kununua chumvi au sukari, au tukanunua mvinyo, au tukalipia gesti hausi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…