Hebu nijaribu uone....(mmh! mie naogopa bado mdogo) Hata nie hamtabiriki na kuaminika
Kutabirika tunatabirika.kirahisi tu! ila KUAMINIKA ndo sahau kabisa!! Sisi ni kama FEDHA, huwezi kuweka imani yako kwenye fedha, tuna matumizi mengi, tunaweza kutumika kununua chumvi au sukari, au tukanunua mvinyo, au tukalipia gesti hausi.
(mmh! mie naogopa bado mdogo) Hata nie hamtabiriki na kuaminika
Hapo ni kama hata toilet walikuwa wanaandamana...
Hahahaha! Anaogopa kulea mamluki?
Si utani, mi ndio maana mabinti zangu napenda waniite Chris zaidi kuliko kuniita baba. LOL![/QUOT
trust haipo
Nyie wavaa magauni hamuaminiki kabisa. Kuna mmoja nilikuwa nafanya naye tabia mbaya, siku ya harusi yake akanipigia eti ikiwezekana tuagane. Sasa kaka angekuwa kwenye tarehe za kukonsivu mumewe si angekuwa ananilelea Matesha Jnr wangu?
Sijakuelewa hapo Baba AskofuKwa kweli... imejidhihirisha kwenye vazi
Ntajuaje kama hawanimegei?hii kali kwa nini ulikuwa unamega mchumba wa mwenzio, wakikumegea wa kwako utajisikiaje
Kwanini umemuita baba? Hivi askofu ni lazima awe baba? Hawezi kuwa babu, mjomba, bibi, kaka au shangazi? (Au hii ni thread inayojitegemea?)Sijakuelewa hapo Baba Askofu
Kwa kweli... imejidhihirisha kwenye vazi
Hahahaha! Askofu amekwazwa na kavazi kako kwenye avatar! Ugonjwa wa avatar unawakumba mpaka wachunga kondoo.Sijakuelewa hapo Baba Askofu
Sijakuelewa hapo Baba Askofu
kwanini umemuita baba? Hivi askofu ni lazima awe baba? Hawezi kuwa babu, mjomba, bibi, kaka au shangazi? (au hii ni thread inayojitegemea?)
Hahahaha! Askofu amekwazwa na kavazi kako kwenye avatar! Ugonjwa wa avatar unawakumba mpaka wachunga kondoo.
Uwe unaosha/kuifanyia usafi ile inayotumia .32 callibre sebuleni, then unatest moja kila mwezi, na uwe unaongelea kununua silencer kwa sababu hutaki kuacha ushahidi utaona!!Ntajuaje kama hawanimegei?
Ntajuaje kama hawanimegei?
hahahaha sina neno mkuu, hebu nikuulize tena unaanza vip kuwaza kwamba mwenzio lazima atakuwa anamegwa tu,
Uwe unaosha/kuifanyia usafi ile inayotumia .32 callibre sebuleni, then unatest moja kila mwezi, na uwe unaongelea kununua silencer kwa sababu hutaki kuacha ushahidi utaona!!
Hutagundua, lakini haitamegeka kabisa nje!! ILA NA WEWE USIMEGE (au ukimega asijue, huwa wanalipiza kisasi hawa!!)
Very simple:hahahaha sina neno mkuu, hebu nikuulize tena unaanza vip kuwaza kwamba mwenzio lazima atakuwa anamegwa tu,
dawa ni kuwaandikia urisi tu, imeandikwa kwamba "kitanda hakizai haramu forever", (huu msemo aloutunga ana akili kweli, samtaimu inabidi tujipe ma hope bana)
Nani alikwambia kitanda hakizai haramu? Hiyo ilikuwa mwaka 47 kabla Wataalam hawajagundua mambo ya DNA. Methali hiyo imeshapitwa na wakati. Kuna methali mpya imetungwa inasema hivi, "Kitanda kinaweza kabisa kuzaa haramu." Ukimwangalia mtoto na kumuona hana features zozote zonazofanana na wewe hata kidogo basi ushtuke kwamba umeshaibiwa yale mambo ya mwaka 47 ya kuambiwa na bibi wa mkeo kwamba mtoto huyu anafanana na babu wa mama yangu yameshapitwa na wakati.
Kumuacha itakuwa msamaha kutoka kwa Mungu. Ndio maana hatujihangaishi kwenda kupima. Manake nikipima nikakuta si wangu yatatoke haya katika familia yangu:Naomba kukuuliza swali BAK, kwa mfano mtoto amezaliwa hamjafanana... tuseme umemlea akafikisha miaka mitatu ukampeleka huko kwenye Ma-DNA yenu, utamuacha mkeo?
Very simple:
Kwanza hujamkuta bikira, na wanasema wanawake huwa hawawanyimi waliowakata bikira. Bahati mbaya simjui aliyembikiri. Kama yuko mitaa ya karibu basi tena, inabidi tu ujipe moyo siku zisonge mbele.
Pili kuna haya mafataki aggggggggggggrrrrrr ngoja nisiendelee nisijesababisha watu wagawe talaka zao kwa wake zao leo na mapema