The truth about vaccines is very different from what we are made to believe.

Ndugu yangu
si wajua kuwa wazungu wanatuibia sisi waAfrika kwa kutumia wasomi.
 
Ndugu yangu

si wajua kuwa wazungu wanatuibia sisi waAfrika kwa kutumia wasomi.
Ni kweli mkuu.Elimu waliyotuletea nia yake ni hiyo.Wasomi ni watumwa wa Wazungu, wao ndio wanaotumiwa kutekeleza malengo yao maovu dhidi ya Binadamu.
 
Jibu swali wewe paranoid, hao matajiri waduni wakikupunguza wewe mla miguu ya kuku na sembe uliyepo buza kwa mpalange au mjomba wako aliyeko tandale kwa mfuga mbwa watafaidika nini?
Ni kitu gani ambacho nyie mnawauzia kukipata kwa sasa?
Nimesema taarifa zipo katafute, sina muda mchafu wa kutafuta taarifa kwa ajili ya mpumbavu.
 
Hata Babu wa Loliondo interest yake ilikuwa ku save human life.
Una save human life na ka tecno chako unacho Google nacho pumba? smh
Yaani huna points kabisa, ukashu mtupu.
 
Ishu ya Corona ni kama kiini macho aisee, tumshukuru Mungu kama kweli ipo kwa kutujalia uhai mpaka leo hii.

Lakini ukiwaza kwa kina kwa maisha yetu ya dunia ya tatu asilimia kubwa tumepanga kama vile Dar es salaam na kwingine, unakuta una chumba kimoja ama chumba na sebule kwa asilimia kubwa sana, wengi hatuna nyumba nzima kwamba utakwenda kuvulia nguo chumba kingine uziache huko kisha ndo urudi chumba kingine. Unatoka kwenye mizunguko yako ya kutwa nzima unarudi nyumba unaingia ndani na nguo ulizotoka nazo kuzululia huko. Unazivulia ndani tena unaweka kitandani muda mwingine unatundika nyuma ya mlango kisha kwenda kuoga na kuangalia ustarabu mwingine ndani humo. Ukimaliza unakung'uka kidogo kitanda unajitupa kujipumzisha kusubiri kuche ukapambane tena.

Kwa hali hii kama kweli Corona jinsi tulivyoaminishwa ingekuwa inafanya wasemayo sijui kama kuna mtu angebaki Tanzania na hii dunia ya 3 aisee.

TAFAKARINI TAFAKARINI TAFAKARINI
 
Watu wengi hawajiongezi mkuu, wanaamini kila wanaloambiwa, ambayo kimsingi sio tabia ya binadamu.Binadamu ni inquisitive and diagnostic.Hii inaniambia kwamba kuna jambo baya binadamu kafanyiwa.
 
Kama Corona ingekuwa kama ilivyokuwa inategemewa isengekuwa pandemic ya kwanza kuua halaiki za maskini na matajiri, Black death iliua watu kati ya milioni 75 hadi 200 kipindi hicho dunia ikiwa na watu milioni 500 , Spanish flu ilia watu hadi milioni 100 kipindi hicho dunia ikiwa haizidi watu bilioni 2.

Magonjwa ya mlipuko yakija hayaangalii umaskini au utajiri wako, mafua ya ndege yalipolipuka Asia ilikuwa ni mtifuano na mapambano ku control.
 
Hakuna jambo baya binadamu walilofanyiwa, wewe ndiye unakaribia kuchanganyikiwa kabisa.
Watu wengi hawajiongezi mkuu, wanaamini kila wanaloambiwa, ambayo kimsingi sio tabia ya binadamu.Binadamu ni inquisitive and diagnostic.Hii inaniambia kwamba kuna jambo baya binadamu kafanyiwa.
 
Hizo figures unazo-quote umepata kwa hao hao wenye hiyo agenda, aren't you stupid to beleive the figures?Yoda hivi wewe ni degenerate?
 
Sijakuelewa mkuu unamaabisha nn? Kwamba kama masikini na matajiri imekuwaje? Unachanganya madesa kama vile naona
 
Sijakuelewa mkuu unamaabisha nn? Kwamba kama masikini na matajiri imekuwaje? Unachanganya madesa kama vile naona
Jamesandrew Yoda ni mtuu wao, ni kati ya wale 60, 000+ CIA operatives ambao wamepenyezwa kwa siri kwenye mataifa yote kupigia chapuo agenda za mabeberu ovu, achana naye.
 
Jamesandrew Yoda ni mtuu wao, ni kati ya wale 60, 000+ CIA operatives ambao wamepenyezwa kwa siri kwenye mataifa yote kupigia chapuo agenda za mabeberu ovu, achana naye.
Asante kwa kunifafanulia, mana nimekua najiuliza anasema nn kwa uswahili huku naona watu wapo tokea 2019 tunaendelea na maisha yetu tu, wanaumwa, wanfariki, tunazika na maisha yanendelea. Hii Corona aliyotaka niaminisha ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…