Lihakanga JF-Expert Member Joined Dec 17, 2016 Posts 4,823 Reaction score 6,416 Feb 15, 2024 #1 Nimekuwa nikiwaona wanajitangaza tiktok kwamba wanauza pc kwa bei rahisi. Kinachonishangaza ni namna ambavyo wanatoa offers mbalimbali kwa mteja anayenunua pc kwao. Wanadai kuwa ukinunua pc unapewa zawadi kama Ipad na smartwatch bure. Hivi ni kweli hizo bei wanazotangaza ndizo wanazouzia hizo pc? Ni kweli kuwa wanatoa hizo offer wanazotangaza? Waliowahi kupata huduma hapo pamba house mtujuze maanake bongo ni bungua kichwa. Ukienda speed utarudi na kilio. Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nimekuwa nikiwaona wanajitangaza tiktok kwamba wanauza pc kwa bei rahisi. Kinachonishangaza ni namna ambavyo wanatoa offers mbalimbali kwa mteja anayenunua pc kwao. Wanadai kuwa ukinunua pc unapewa zawadi kama Ipad na smartwatch bure. Hivi ni kweli hizo bei wanazotangaza ndizo wanazouzia hizo pc? Ni kweli kuwa wanatoa hizo offer wanazotangaza? Waliowahi kupata huduma hapo pamba house mtujuze maanake bongo ni bungua kichwa. Ukienda speed utarudi na kilio. Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Feb 19, 2024 #2 Tangazo
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,302 Reaction score 7,815 Feb 20, 2024 #3 hadi hili unaandikia uzi?
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 20, 2024 #4 mwenye tangazo ndo mwenye uzi
King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,282 Reaction score 6,471 Feb 20, 2024 #5 Ungeweka na bei mkuu