G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Nov 26, 2009 #1 Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise je mnaweza kuwataja? clue: Yupi 'mpiganaji' mmoja
Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise je mnaweza kuwataja? clue: Yupi 'mpiganaji' mmoja
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Nov 26, 2009 #2 mzee leo umejipanga kweli kweli!lakini hauko that much straight
B Baija Bolobi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 1,093 Reaction score 1,733 Nov 26, 2009 #3 Geoff said: mzee leo umejipanga kweli kweli!lakini hauko that much straight Click to expand... Hayuko Straight? Una maana gani ndugu?
Geoff said: mzee leo umejipanga kweli kweli!lakini hauko that much straight Click to expand... Hayuko Straight? Una maana gani ndugu?
R Ronaldinho Member Joined Aug 7, 2009 Posts 69 Reaction score 2 Nov 26, 2009 #4 GT hapo umeniacha,hebu fafanua zaidi mzee
Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,508 Reaction score 1,566 Nov 27, 2009 #5 Game Theory said: Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise je mnaweza kuwataja? Click to expand... JK, EL na 6
Game Theory said: Ni kama triad vile na inaonekana wananchi pamoja na members wengi humu mmekuwa duped kuwa watu hawaelewani kumbe usiku wana strategise je mnaweza kuwataja? Click to expand... JK, EL na 6