Come on watch out,are you drunker kunywa dompo Messi mfananishe na wakina benzema case closedhapa ndio nimekujua wewe ni mshabiki wa ronaldo lakini haumzungumzii messi kama mtu unaeijua football na uliewah kuicheza, unamfananisha messi na natural strikers? hao wafananishe na suarez,paco alcacer,sergio kun aguero,cavani,diegocosta. hao ndio wakulinganisha na hao uliowataja.
pia messi huwezi kumfananisha na ronaldo kwa maana ya aina ya uchezaji.
messi mfananishe na maradona,waynerooney,firmino. .nk watu wanao uwezo wa kucheza kama midfield na wakati huohuo anaenda kufunga.
hapa ndio nimekujua wewe ni mshabiki wa ronaldo lakini haumzungumzii messi kama mtu unaeijua football na uliewah kuicheza, unamfananisha messi na natural strikers? hao wafananishe na suarez,paco alcacer,sergio kun aguero,cavani,diegocosta. hao ndio wakulinganisha na hao uliowataja.
pia messi huwezi kumfananisha na ronaldo kwa maana ya aina ya uchezaji.
messi mfananishe na maradona,waynerooney,firmino. .nk watu wanao uwezo wa kucheza kama midfield na wakati huohuo anaenda kufunga.
Wewe ndio hujanielewa,nimefananisha aina ya uchezaji,jinsi wanavyocheza na kupita maeneo yanaofanana uwanjani, Kwahiyo nikisema SUAREZ ni central striker na LUKAKU ni central striker utanibishia?Kamanda wangu, acha utani kumfananisha Messi na akina rooney na firmino í ½í¸í ½í¸í ½í¸
Messi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka...hakuna wa kumcompare-nae, iwe kwa Maradona, Zidane, gaucho wala Pele wote hao ni wachumba tu kwa MESSI....
View attachment 1064851
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamanda wangu, acha utani kumfananisha Messi na akina rooney na firmino [emoji3][emoji3][emoji3]
Messi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka...hakuna wa kumcompare-nae, iwe kwa Maradona, Zidane, gaucho wala Pele wote hao ni wachumba tu kwa MESSI....
View attachment 1064851
Naona una mahaba na mvaa hereni wako hahahahbwahahahshMess ni foolishness
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Bensonpeace na wenzio hatuwaoni kulikoni!!