The Undisputed Messi

League ya Spain ni kweli inauwiano mbovu katika timu kubwa na ndogo -- lakini league ya epl ambayo inauwiano nafuu baina ya timu kubwa na ndogo "... ndio league ambayo inaongoza kufungwa mara na team za Spain ambazo hazina uwiano sawa ... mkuu unaweza kujua sababu ni nini "!?,

Sababu ni 1, tu ---, league ya Epl ina wachezaji wengi ambao wanauwezo sawa' so wale ambao wanaonekana ni wachezaji bora wa epl kiukweli ni kwamba uwezo wao haujapishana mbali sana na wachezaji wa kawaida wa epl .. ndio maana unaweza kuona huu ni mwaka karibia wa 10 sasa ..epl haijawahi kutoa hata mchezaji bora mmoja wa dunia .... so unataka king messi akacheze mpira katika league ya watu wenye uwezo mdogo kiasi hicho ... itakuwa una tania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa amerogwa sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Record ya Guinness inasema itachukua miaka isiyojulikana kutokea mchezaji Kama Ronaldo

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Hahaa my foot ..ronaldo kaweka lini record ya Guinness hebu weka hapa reference

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezi kumpima champion kwa kuwa na mwali mmoj aende lipuli FC akafumuliwe eboooh.

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Thamani ya Messi ni kubwa kuliko Liverpool ...so anacheza katika timu ya hadhi yake . Kumtaka Messi aikache barca halafu aende Liverpool ni sawa na kumtaka bakhresa ahame masaki halafu aende kuishi vingunguti .... hao wachezaji wa Liverpool wenyewe kwa hivi sasa ni ndoto ya maisha yao kusajiliwa na barca ..so messi anaanzaje kwenda kuichezea club kama hiyo !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSI
Hiyo 'Unataka ulipwe kama Messi' ni chumvi umeongeza mkuu.
 
La purga kafunga 80% team za EPL alizokutana nazo!!..
Just imagine kati ya team 85 alizowahi kutana nazo Maisha yake yote ni Team moja tu imemkazia!!..
G.O.AT
 
Sio kweli acha uwongo .. messi huwa ana waachia mpaka wenzake wapige penalty .. mwenye hiyo tabia ni cr7

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi La Purga zile assist angezuia kwake leo huu ubishi ungekuepo!?.. Tatizo analofanya Mfalme mpaka hawa kinamama wanaongea hovyo sio mchoyo, angekuwa mchoyo kama cristina leo tungekuwa tunaongea lugha moja!..
 
Hivi La Purga zile assist angezuia kwake leo huu ubishi ungekuepo!?.. Tatizo analofanya Mfalme mpaka hawa kinamama wanaongea hovyo sio mchoyo, angekuwa mchoyo kama cristina leo tungekuwa tunaongea lugha moja!..
Hawa jamaa bwana sijui wana matatizo gani ...yaani huwa wana teseka mnoo na uwezo majaaliwa wa Lionel Messi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Visingizio tu hivyo
 
Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah danganya ambao awaangalii mpira hila sio Mimi,nasema tena utakula BAN kwa herufi kubwa ukiendelea ujinga wako wa takwimu za uongo eboooh

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…