The United States government has nothing to teach Tanzania regarding human rights


Mkuu kusaidia kwao ndio ifanye watu wawe dhalili kwa kuafikiana nao kuwa wao ni wazuri likija suala la human rights?
Tukubaliane kuwa kila mmoja ana maoni yake na uhuru wa kuongea pia.
Yanayotokea duniani ni mabaya sana na kila mmoja ni anajitetea kiaina
Mengi yaliyoaandikwa juu yao ni ukweli usiopingika
 
Hawatusaidii sana wanataka kuleta ushoga tu TZ tumewazuia ndiyo maana wanawashwawashwa tu! Zaidi ya kutusaidia kondomu na virainishi kuna mradi gani wa maana wanaendesha hapa nchini?

Tukikaza mikanda tutaondokana na ombaomba kwani ni udhalili sana kuomba
Ila nasi ni kujitahidi kuikataa misaada kabla hata ya wao kutupa kwa masimango
 
I'm afraid you haven't answered my question yet. I asked about the criteria you employ before deciding that someone is a puppet bent on wreaking havoc rather than a patriot serving in the best interests of the country..
Are you okay Mark?I said I use commonsense.
 

UK inahangaika na kujitoa Umoja wa Ulaya. US ndio usiseme. Wanauana kama kuku wenye mdondo. Wanaanzisha vita vinavyoua watu mamia kwa maelfu. leo ndo walimu wetu wa haki za binadamu. Serious?
 
UK inahangaika na kujitoa Umoja wa Ulaya. US ndio usiseme. Wanauana kama kuku wenye mdondo. Wanaanzisha vita vinavyoua watu mamia kwa maelfu. leo ndo walimu wetu wa haki za binadamu. Serious?
Mimi nawashangaa watu wanaoiangalia Marekani kama role model mkuu,eti wanakwenda huko kutafufuta msaada.Umbumbu ulioje.
 
How about democracy?? How about transparent in a governing process?
 
hata kina hayati Gaddafi & Saddam nao pale mwanzoni walikuwa wanaibeza US hivi hivi kama wewe...

the rest is history!
 
Kwaiyo kwako vilainishi na kondomu ndio vya maana sana?
 
hata kina hayati Gaddafi & Saddam nao pale mwanzoni walikuwa wanaibeza US hivi hivi kama wewe...

the rest is history!
Kwa hiyo tuwaache wafanye wanavyotaka kwa sababu ya kuwaogopa?Hiyo haiwezekani.We will resist their hegemony, bullying and tyranny.Kumbuka hata hivyo US ya Gadafi na ya Sadam sio ya ya leo,it's power has diminished significantly.So they can't do anything to us.Ona Iran wanavyowasumbua.
Their drone was downed very and have done nothing so far,wameishia kubwabwaja tu.American hegemony is now coming to an end,friend.
 
Suala siyo kushindana nao bali ni misimamo yetu. Nchi hii imekuwa na misimamo ya aina hiyo tangu 1964 tukiwa wachanga kabisa pale ambapo wajerumani walijaribu kutuchezea tulikataa katakata kuburuzwa.
Hli hii ilifuataia pia pale ambapo Rhodesia ilipojinyakulia uhuru kwa weupe, tulikubali kuvunja uhusiano na Uingereza kwa sababu ya misimamo yetu. Hayo yalifuatia pia wakati tulipotanganza Azimio la Arusha, tuliudhi wakubwa na walijaribu kutukanyaga lakini tuliendelea na misimamo yetu.
Hiyo siyo ajabu hata misimamo ya serikali kwa kipindi hiki kwani ni muendelezo wa misimamo yetu.
Hatujaburuza na hatutaki kuburuzwa na yeyote yule kutoka nje ya mipaka yetu.
Hata hivyo nchi za US na Uingereza siyo mifano bora kwa sasa kwenye suala la haki za binadamu
kwani kwa njia moja au nyingine wamehusika kwenye mauaji ya mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia Afrika,Mashariki ya kati na latin America.
 
You are very right. Bush and Tony Blair are supposed to be charged for human rights abuses. Killing of Iraq people, using false evidence. Killing Gadaff on evidence supplied by people like Tundu Lissu and Zitto Kabwe the opportunists politicians who depends on handout in the name of democracy. Tanzania has never colonised any country. Never attacked any country. Yes America keep off our country, you have no moral to preach democracy/human rights to Tanzanians. Tanzania is doing very fine and very happy with our President. Thank you.
 
JF members, please take note that one day U.S will heal Tanzanians from this oppressive regime.
 
Lame argument. My child is very smart in the sense that he couldn't argue the way you did.
 
JF members, please take note that one day U.S will heal Tanzanians from this oppressive regime.
We don't need any assistance from you ass! You never assisted anybody in this world instead you are causing damy allover the world!! Go to hell we dont need you!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…