The universe and origin of man

Na kama theory ya evolution ni ya kweli, basi na sisi binadamu wa sasa tunaendelea ku-evolve, sasa sijui tutakuwa nani baada ya miaka milioni 1 ijayo.

Kwangu mm theory ya evolution haina ukweli wowote. Inaacha maswali mengi kuliko majibu.

Sisimizi nae ana evolve pia?
 
Jsmaa alivyoandika mpangilio wake tu ni shida.

Hslsfu nilivyofika hapo alipoandika Jupiter ni sayari kubwa kabisa katika galaxy nikaona huyu anaparamia makubwa wakati madogo hajayajua.
 
mleta maada ni amateur ndo anajifunza haelewi chochote.
 
Kasimuliwa huyu, haelewi chochote.
Inaonekana haelewi tofauti ya our galaxy na our solar system. Ni kama alitaka kuandika our solar system, akaandika our galaxy.

Haelewi kwamba kuna majua (nyota, jua ni nyota)kati ya bilioni 250 na 400 katika galaxy yetu.

Na takriban kila moja lina sayari angalau moja.

Jupiter itakuwaje sayari kubwa kuliko hizo sayari takriban bilioni 300 ?
 
Japo nimesoma bandiko lako juuu kwa juu...

Kuhusu evolution of man ni concept pana kubwa na hapo ulipomtumia Charles Darwin sio kwamba alispecify moja kwa moja kuwa sisi tumetoka kwenye jamii ya sokwe ...noo yeye alijikita kwenye point kuwa yawezekana human na sokwe wanashare common ancestor ...

Ndo maana kuna baadhi ya facts tunazoshare na hao viumbe mfano mambo ya rhesus factor mostly ni same ....
 
mleta maada ni amateur ndo anajifunza haelewi chochote.
Na amesema mwaka 2011 alikuwa form 1, ina maana miezi micha ijayo anaenda chuo. Akiwa mwalimu tu basi ndio kashatuulia wanetu kwa kuwaambia jupiter ni kubwa kuliko sayari zote katika milkway.
 
Na kama theory ya evolution ni ya kweli, basi na sisi binadamu wa sasa tunaendelea ku
Fact!!! and this is so called maturity.
 
Reactions: Lee

Point muhimu sana ambayo watu wanaosoma evolution juu juu hawaioni.

Juzi juzi hapa nilikuwa nasoma makala moja imeelezea hivyo hivyo.

DNA evidence inaonesha tuna share 99% ya DNA makeup yetu na chimpanzee.
 
Reactions: Lee
Nothing to say but I know the truth sits upon the lips of dying man.
 
Creationalists wengi huwa wanachanganya sana mambo hapa. Linapokuja swala la evolution huwa wanaelewa kuwa binadamu ametokana na sokwe which is very unprofessional and incorrect. Hawajuagi kabisa habari ya common ancestor(Kiumbe chanzo). mfano paka,chui,duma na simba hawa wanaweza kuwa na common ancestor au fisi,mbwa,mbwa mwitu na bears wanaweza kuwa na common ancestor pia kama sisi binadamu na jamii zote za manyani. Na hii ni kutokana na mfanano fulani wa ki gene na morphology.
 
Point muhimu sana ambayo watu wanaosoma evolution juu juu hawaioni.

Juzi juzi hapa nilikuwa nasoma makala moja imeelezea hivyo hivyo.

DNA evidence inaonesha tuna share 99% ya DNA makeup yetu na chimpanzee.
Mkuu hilo halina ubishi kwa yeyote mwenye hizi concept za DNA ni kweli binadamu na hao apes especially chimpanzees na bonobo zina ufanano wa hali ya juu ...sina shaka na hizo asilimia ulizotaja na hii inaonesha sisi na hao viumbe tunashare common ancestor japo wengi huwa hawaamini ila ukipitia maandishi na tafiti nyingi kama hizo mbili upande wa DNA na blood rhesus factor huwezi kupinga ...

Nachooamini ni vile tu "mutations" ilivotokea kwa hawa viumbe to tofauti ya physical appearance inaonekana
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] mkuu ulipo kula lunch kwanza bili kwa wabishi

Point kuu ndo hiyo "common ancestors " ndo maana nikiwa pembeni imani yangu naamini 100% nashare na hao apes make ukishakua na damu yenye ufanano na wewe utabisha ili iweje DNA na chromosomal arrangements ziko sawa ....

Sema mmenikumbusha mbali natamani waje wabishii ili kamjadala kawe katamu
 
Mkuu nakubalina na wewe uwepo wa intelligent designer lakin swali linakuja yeye alitokea wapi je kama intelligent designer alikuwepo tu kwanin sisi less intelligent tusiwe tulitokea tu kama yeye kwanini rule itumike kwa upande mmoja na isifae kwa upende wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…