The Untold Story!

Invisible

JF Admin
Joined
Feb 26, 2006
Posts
16,286
Reaction score
8,380

Source: Abunuwasi
 
..invi!

..hii haieleweki mwanangu!pamoja na kwamba inaonyesha ni siasa za kenya!unaweza tusaidia elewa?
 
Dar si Lamu:

Labda hii itakusaidia - Kalembe Ndile ni waziri mdogo katika wizara ya wanyama pori - upo hapo?

Aliwahi kusakamwa na kupigwa makonde kwa amri ya Kalonzo Msyoka mgombea urais wa ODM-K huko kwao ukambani wakiwa kwenye mkutano wa sherehe zao za kimila. Ni Kalembe huyo huyo na mawaziri wadogo wenzake waliolalamikia kukosa kazi za kufanya huko wizarani kwao. Kwenye wizara ya wanyama pori sijui alitaka kazi gani licha ya kwenda kuwatembelea hao wanyama pori. Ni Kalembe huyo huyo aliyekataa gari mkweche alilopewa na wizara. Kwa ujumla ni waziri wa vichekesho na shari. Pengine ndio maana Invisible alipoona hicho kipande hapo juu, hakuweza kujizuia, na kuamua kukileta hapa watu wafaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…