The use of US$ in our domestic transaction

The use of US$ in our domestic transaction

Avatar Myg

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
675
Reaction score
118
Wakuu,

Hivi matumizi ya US$ kwenye domestic transactions (almost every big business i.e hotels, shopping malls nowadays zinacharge per usd) hakuna madhara yoyote kwenye uchumi wa nchi yetu?
 
ni kosa kufanya manunuzi/mauzo ndani ya tz kwa USD but nafikir hakuna ufuatiliaji wa hilo ndo maana hata airlines (precision) wanakupa quotation kwa USD ulipie kwa M-PESA? Crazy????
 
ni kosa kufanya manunuzi/mauzo ndani ya tz kwa USD but nafikir hakuna ufuatiliaji wa hilo ndo maana hata airlines (precision) wanakupa quotation kwa USD ulipie kwa M-PESA? Crazy????

Ukiangalia hata mishahara ya maboss wengi wanalipwa kwa usd... Ni ngumu sana kudecrease demand of USD wakat nikiwa na USD ni bora zaid kuliko nikiwa na TSH... Hivi tz hatuna sheria ya kuban hii kitu?
 
Maboss wenyewe wanalipwa kwa USD nan akataze sasa?
 
Back
Top Bottom