The Verratti to the rescue

Aaaaah, Madrid tena kwa mitamaa yenu, kukuza vya kwenu hamuwezi.
Tunakuzia wengine, kina Mata, Parejo, Borja Valero, Morata, Juanfran, Negredo, Javi Garcia, Rodrigo Moreno unadhani walitoka wapi?
 
Marco verrati hawakumjua mpaka alivyowaadabisha chelsea ila leo nipo kinyume

Messi mcharo tena
Watu wa mpira dogo wanamjua kitambo, prem-faces ndio huwa hawawajui wanaotoka nje ya ligi yao mpaka wawafundishe mpira. Ukiwauliza wengi, watakuambia hata Pirlo walimjua kwenye Euro '12.
 
Unaweza ukanambia hao uliowataja hapo juu wameinufaisha nini Madrid?

Hela + reputation kwa Cantera zetu. In case ulikuwa hujui, tupo katika 3 bora ya clubs zilizotengeneza mkwanja mkubwa kupitia academies
 
Dah! Nimekubali, meli ilikuwa ishazama anyway. Heshima kwao Barca na Bayern.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…