The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci

Hongera kwa bandiko mkuu
Ukipata mda uje na mzee wa social contract
Thomas Hobbes
Thomas hobbes phylosophies zake huwa naona zimeeegemea zaidi kwenye mrengo wa kuwatawala wengi kimabavu bila ya wao kuwa na haki ya kupinga chochote (total dormination)
Na ndiyo maana Jean-Jacques Rousseau . Alizaliwa ili kuja kuwa opposite ya hobbes .namkubali sana Jean-Jacques Rousseau .

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hayo mapozi mkuu, mbona mi naona yako wazi hata hayajajificha???
 
No,wacha tuzungumzie huu kwanza
Mnatumia nguvu kubwa kuelewa kitu ambacho hakipo kabisa kwenye mawazo ya mchoraji, kwa kifupi mnatafsiri sana hakuna maana nyingi kwenye huo mchoro.

Nimekupa like kwanza kisha, naunga mkono hoja, hakuna fumbo nje ya maana ya mchoraji, na ili maana yako iwe ya kweli lazima tupate maana ya asili, yaani maana ya mchoraji.

Sasa unakuta watu wanapoteza muda kukuza vitu ambavyo kwa vyovyote vile ukileta maana yako unakuwa unawakilisha uongo, hii michoto ibakie kama sanaa tu ya mchoraji.
 
Kautazame mchoro wa Mona lisa kila pembe utakayoangalia utamuona huyo mwaname anakuangalia. Ni yeye tu anaweza kuchora hvo
Hii hapana jaribu kuchukua Picha iliyochorwa Hata na local artist fanya experiment ya hiki ulichoandika, picha nyingi ziko hivyo
Nimewahi jaribu hii maana kuna kipindi hii dhana iliwahi niingia mpaka ikawa sehemu ya Imani yangu kipindi cha utoto (ulikuwa mchoro (portrait) ya Yesu)
Tukawa tunashangaa kila angle inakuangalia nikaja tizama picha zingine (sio zote) nikakuta zinabehave hivyo.
 
Naomba unipm please
 
INGEKUA VEMA ZAIDI

Na huu Uzi wako pia, Nao ungepeleka uko PM.

Haina maana unaanzisha Uzi hadharani, ila unapokosolewa unataka uhamie PM.

Una ajenda gani huko?

Unaficha Nini huko?

Au mwenzetu una maslahi binafsi na huu Uzi?

Au useme tu huu Uzi umeandika kwa ajili ya watu flan flan special?

Kama Ni hivo, Bora ungewatafuta personal uwatumie Uzi wako kwenye sms Mjadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya yote umetoa wapi.?
Mm kika wakati naandika nyuzi humu sijawahi kujibu hoja pm. Kwanza hua siendi om kwa mtu hovyo hovyo
 
Mimi nimeona mwanaume mmoja ana mlawiti mwenzie.Ushoga.
 
Jicho langu halinidanganyi kuwa mchoraji alifanya utunzi wa mchoro wake ndani ya angle za michoro ya nyota mbili za sigil ya baphomet(pentagram) na spectrum, hivyo ukichukua kalamu na karatasi ukachora na kupiga mahesabu ya angle zake bila shaka majibu yapo wazi utabaini kuna maumbo ya binadamu mangapi katika mchoro huo, usitake nikutafunie fanya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…